Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

Unahitaji uhakika gani? Barabara ya urefu WA kilomita moja na Mita Mia nane (1.8 km) kujengwa bil 5.4 imejengwa Kwa Dhahabu au? Alafu bado mnatetea ujinga kama huu. Ndo maana huyu mpuuzi alikuwa anawachukia Sana waandishi WA habari, kila walipojaribu kumhoji anawatupa ndani. Ngoja akanyee Debe Kwa kuhujum uchumi.
Hivi si ingetakiwa awaelekeze tuu TAKUKURU wafanye uchunguzi wao kitaalamu halafu ndiyo mambo mengine yaendelee? Ukitoa mpaka deadline si ina maana tayari wewe una uhakika na makosa hayo?
 
IQ ya majaliwa iko chini sana, hajui mipaka ya kazi yake. Huwezi kuamru watu wafikishwe mahakamani kabla hujafanya uchunguzi. Mwishowe ataamru hakimu ampe adhabu anayotaka yeye. Hafai kwa urais
Yap: Majaliwa IQ ndogo. Mzee wa kubwata.
 
Unahitaji uhakika gani? Barabara ya urefu WA kilomita moja na Mita Mia nane (1.8 km) kujengwa bil 5.4 imejengwa Kwa Dhahabu au? Alafu bado mnatetea ujinga kama huu. Ndo maana huyu mpuuzi alikuwa anawachukia Sana waandishi WA habari, kila walipojaribu kumhoji anawatupa ndani. Ngoja akanyee Debe Kwa kuhujum uchumi.
Narudia bado angetakiwa kusema sikubaliani na haya matumizi hivyo naagiza vyombo husika vifanye uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki, haya mambo ya kuhukumu watu majukwaani as if wao ni Mahakama hayafai, na je wao wanapokosea nani huwa anawanyooshea vidole au ndiyo wakubwa huwa hawakosei???
 
Aisee yaani mtu anapiga bilioni zote hizo ndo mnashtukia. Wekeni hata utaratibu wa kujua ufisadi kabla haujafikia hatua kama hiyo.

Sasa hela zetu tutazipataje. Utakuta walishagawana Na zote wamehonga, kunywea bia Na kufanyia mengineyo
Na kula totozi za TMK
 
Lini ccm waliwahi kufuata sheria.

Majaliwa mwenyewe alipita kwenye uchaguzi kwa kuzuia wagombea wengine wasichukue form.

Ulitegemea mtu aliyeingia madarakani kwa kura za mabegi afuate sheria?
 
Kwa wale wana mahesabu wenzangu,
5.4Bil/1.8km
= 3Bil/1km
Inawezekana kama kulikuwa na cutting na filling nyingi + subgrade stabilization.
Hata hivyo ni wajibu wa Serikali kuangalia upya namna ya kuEmploy Consulting firms/kwa uwazi kwenye miradi ili value for money izingatiwe.
Kwa kuanzia Takukuru nao kwenye auditing za namna hii wapewe ruhusa ya kurecruit Consulting firms ziwasaidie kufanya kazi kwa weledi wasisubili kuletewa wataalamu kitu ambacho kinaweza kupoteza ushaidi kama upo.
 
It is possible (cu+fill),posho za vikao, consultancy fee kama walikuwepo, idadi ya structures (culverts/daraja),mifereji, road signs, n. k.
Unaweza kushangaa hiyo fedha ikawa ndogo kama kiwango cha lami kiliwekwa cha kawaida sambamba na upana wa barabara kuwa wa kawaida tu tofauti na barabara za nje ya mjini.
Yan 5.4billions kwa ujenzi 1.8km hapo unahitaji uchunguzi wann wakati inshu ipo waz.

Au na hili kujua unahitaji katiba mpya?
 
Narudia bado angetakiwa kusema sikubaliani na haya matumizi hivyo naagiza vyombo husika vifanye uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki, haya mambo ya kuhukumu watu majukwaani as if wao ni Mahakama hayafai, na je wao wanapokosea nani huwa anawanyooshea vidole au ndiyo wakubwa huwa hawakosei???
Ndiyo maana hujapewa hiyo kazi. Wewe huna taarifa zaidi ya paragraph moja iliyoandikwa, lakini tuhuma za PM kukosea kurasa 100.
 
PM akumbuke hata mishahara na posho zao nono nazo zinatokana na fedha za wananchi...
 
IQ ya majaliwa iko chini sana, hajui mipaka ya kazi yake. Huwezi kuamru watu wafikishwe mahakamani kabla hujafanya uchunguzi. Mwishowe ataamru hakimu ampe adhabu anayotaka yeye. Hafai kwa urais
Umesikia anautka urais.. unajua report kwake kuhusu huo mradi ilipelekwa kwake toka april na PCCB walikuwa hawajachukua hatua... Tafkar kabla ya kubwatuka
 
Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8 ikiwa imejengwa kwa gharama ya Bilioni 5.4.

Waziri Majaliwa ametoa maagizo hayo leo wakati wa ziara yake katika wilaya ya Temeke ambapo amemuagiza Mkuu wa TAKUKURU Temeke kuwatafuta wahusika wote akiwemo Mkurugenzi huyo wa zamani kwa ajili ya kushitakiwa.

"Nawapa siku 4, tarehe 20 deadline watu waende Mahakamani, ita yeyote yule huyu aliyehamishwa hapa arudishwe, huyo Mkurugenzi aliyewekwa pembeni arudishwe na Msimamizi Msaidizi, Edward Haule rudisha wote peleka mahakamani hatuwezi kufanya mchezo hapa hizi fedha za wananchi”.
Mgao haukufika juu
 
Aise, hii nchi kila mmoja akipewa nafasi anakula kulingana na urefu wa kamba yake, kama utawala wa magufuli bado kuna watu waliiba hela kiasi hiki,, itakuaje utawala huu wa mama yetu jamani, maana huyu mama anaonekana kabisa hata Hajui kinachoendelea huko mikoani, kazi yake kwa sasa ni safari ya dodoma na dar es salaam, pamoja na safari ya nje!!! Ccm ijitafakari upya
Hii ndyo bongo wewe unalaumu rais anasafiri wakati ndyo walewale wapigaji ni vile tu hujapata nafasi ya kipiga
 
Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8 ikiwa imejengwa kwa gharama ya Bilioni 5.4.

Waziri Majaliwa ametoa maagizo hayo leo wakati wa ziara yake katika wilaya ya Temeke ambapo amemuagiza Mkuu wa TAKUKURU Temeke kuwatafuta wahusika wote akiwemo Mkurugenzi huyo wa zamani kwa ajili ya kushitakiwa.

"Nawapa siku 4, tarehe 20 deadline watu waende Mahakamani, ita yeyote yule huyu aliyehamishwa hapa arudishwe, huyo Mkurugenzi aliyewekwa pembeni arudishwe na Msimamizi Msaidizi, Edward Haule rudisha wote peleka mahakamani hatuwezi kufanya mchezo hapa hizi fedha za wananchi”.
Anavyoongea utadhani ni kweli hio ndio imetoka hakuna kitu hapo. Mark my word
 
Back
Top Bottom