Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

Kama kuna kitu Cha maana ambacho PM kafanya ni kuwataka hawa watu wapelekwe ndani. Kuna mratibu wa miradi huyo Edward Haule. Alikuwa mungu mtu. Hata Gondwe wakati ni DC Temeke alimfokea siku moja. Huyo Mkurugenzi nae mnajua uozo wake. Hapo ambae kaachwa ni waziri wa Tamisemi wakati huo Jaffo nae alitakiwa kutoa malezo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama sio wataalamu wa barabara usitupige uongo bwana bilioni 5.4 kwa km 1.8 Huo ni wizi tena wa wazi wazi kabisa.
Nime sema it is possible (probability).
Kuna wakati barabara sio hizo za kuparua, mwaga kifusi, weka changalawe, malizia kwa lami.
Ndio maana Mh. Waziri Mkuu amehitaji uchunguzi ili kubaini kama kuna --((ubadhilifu /udanganyifu wowote/matumizi mabaya ya ofisi /upendeleo wenye viashilia vya rushwa /ubora na thamani kulingana na gharama /mchakato wake /uwezo ama mahitaji kabla na baada ya ujenzi kukamilika je vimekidhi matarajio.)) --Auditing
Hapo ngosha wa mwanza utakuwa umenisoma vizuri si eti au tuendelee na elimu zaidi?
 
Baki na upumbavu wako!

Ndio maana nasema kuwapigania watz wapumbavu kama nyie ni ujinga mtupu!
Narudia wewe ndiye mpumbavu na lofa mkubwa....na huna uwezo wowote wa kumpigania mtu wewe, una kila tabia za CHAWA PRO MAX.....
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,ametoa siku 4 kwa TAKUKURU wilayani Temeke, kumfikisha mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa wilaya hiyo Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za barabara ya Kijichi Mwanamtoti iliyogharimu Sh.bilioni 5.4.
IMG_20210816_222925.jpg


Nipashe Habari
 
Hatuwezi Mh kukuamini maana huko nyuma ulisema Magufuli yupo ofisini anachapa kazi, wakati yuko kwenye friji! I can not bank on you, Your Excellency!
Huyo ni kama kivuli tu, hakuna chochote anachofanya zaidi ya kula pesa za wananchi kuzurura. Anachagua mafisadi dagaa, mafisadi yangumi anawaogopa kama ukoma. Kwa bomba la mafuta Kurasini yuko kimya kama vile hakusikia na kwa ule wizi uliofanyika Wizara ya Fedha yuko kimya kama aliyemwagiwa maji ya mvua.

Hapo hatujagusia anayeutuhumu na kuudhihaki uongozi wote wa juu serikalini kuhusu chanjo. Waliozoea vya kunyonga, vya kuchinja wataviweza kweli? Ngoja nikae kimya.
 
Hivi Waziri Mkuu anaruhusiwa kuipa amri ofisi ya mashtaka kimfikisha mtu mahakamani? Mbona juzi tumesikia Mnyika akikemewa kisa kamuomba Mama Samia aingilie kati swala la Mbowe kwa kuongea na DPP?

Au hii kesi haipitii ofisi ya DPP?
 
Takukuru haifanyi kazi hadi ipewe maagizo duuh...!!? Nchi hii mifumo haijiendeshi yenyewe bila kuambiwa fanyeni hivi au vile.Mfano Lindi mjini kata ya rasbula sehemu mitema kuna jengo la ofisi ya kata ya Rasbula pesa ilitolewa m.40 lakini imeliwa na haiendani na thamani ya jengo,ila hata dalili ya kuisha hamna.Takukuru wapo na magari wanayo ila wanalia bata tuu kwenye mabar humu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mi Niko likotwa apa mbona sijasikia kua kuna jengo la ofc ya kata
Takukuru haifanyi kazi hadi ipewe maagizo duuh...!!? Nchi hii mifumo haijiendeshi yenyewe bila kuambiwa fanyeni hivi au vile.Mfano Lindi mjini kata ya rasbula sehemu mitema kuna jengo la ofisi ya kata ya Rasbula pesa ilitolewa m.40 lakini imeliwa na haiendani na thamani ya jengo,ila hata dalili ya kuisha hamna.Takukuru wapo na magari wanayo ila wanalia bata tuu kwenye mabar humu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kufanya uchunguzi ili kubaini kwanini uongozi wa Manispaa ya Temeke ulianza kulipa mkopo wa shilingi Billioni 19 miezi miwili baada ya kupokea ilihali mkataba ulionyesha wana-'grace period ya miezi sita.

Tunatakiwa tujue hili jengo mkurugenzi gani alikopa bil.19 na kwa ajili ya nini, mkataba ulisema wana grace period ya miezi 6 na kuendelea wao wamelipa mwezi wa pili hela walitoa wapi kabla hawajazitumia zile za mwanzo kwanini waliharakisha kuzilipa na je ziliingia benki, tafuta mweka hazina aliyehusika kwenye kukopa hiyo fedha arudushiwe Temeke kuja kujibu hawezi kuhamishwa huku kuna matatizo" amesema Mhe. Majaliwa.

Pia Mhe. Majaliwa ameshangazwa na na kitendo kilichofanywa na manispaa hiyo ambayo ila wahamisha kwa haraka wale watumishi wenye shida wote huku akitoa agizo la Mwanasheria wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kukaa pembeni kwa kile kinachodaiwa kutokuwa na majibu yanayoridhisha.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kumtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Elihuruma Mabelya ahakikishe anasimamia na anazingatia maslahi ya wana-Temeke katika utekelezaji wa majukumu yake.

“Wananchi Serikali yenu iko macho kweli kweli na hakuna sarafu itakayotoweka tunailinda na Mawaziri tupo kwa ajili hiyo na tuna maelekezo thabiti ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na watumishi wa umma tupo hapa kuwahudumia wananchi,” amesema Mhe. Majaliwa.

EATV
 
Yaani mpaka Waziri Mkuu awaagize hao Takukuru, ndiyo wafikishwe mahakamani! Kama asingewaagiza, ndiyo ingetoka hiyo! Business as usual!!

Serikali ya ccm na ufisadi/uhujumu uchumi ni mtu pete na kidole.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom