Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,784
Hata mimi ninawasiwasi ni photo shop, huoni walivyobananaMhhh hii isije kuwa ni photoshop.
Hata mimi ninawasiwasi ni photo shop, huoni walivyobananaMhhh hii isije kuwa ni photoshop.
Ilibidi akamatwe na polisi kwa kuvunja sheria ya usalama majini.Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
Hiyo tarehe kulia chini kwenye kona ingawa imekatwa inatia mashaka
Hangani =AnganiBody guard anajua nin anafanya musidhan kakaa tu pale.... uyo body guard ni multi task anacheza nyanja zoote... majini mpaka hangani.... musiwe na shaka na tusikosoe saaana km sie ndo kila kitu

Hatari zaidi hata ya ndoto ya Lema.Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!