Waziri mkuu kwenye ziara.!!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
a43a1036d7adc1a831cdce496e121fbb.jpg
 
Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
umefanya vyema kumtetea unfortnatly yeye halijui hilo
 
Mbona humo kama waliingia kupiga picha tu, Nimefurahi na kumwona Prof Mwandosya.
 
Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
Hao mabody guard wake hawakuliona hili kweli, maana nao hawakuwa na wasiwasi kabisa!
 
Back
Top Bottom