Waziri mkuu kwenye ziara.!!

Waziri mkuu kwenye ziara.!!

Dah.. Si mchezo,mungu ajalie wasije kumbana na kiboko maana anapenda sana kupindua mitumbwi
 
Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
Maji madogo hayo so usiogope kesha koga sana mtoni huyo anauzoefu nzuri tu
 
Na nina uhakika wengine hapo hata kuogelea hawajui na hawajavaa maboya wala kifaa cho chote cha buoyancy. Yaani sisi mambo yote hovyo hovyo tu.
 
hahahahaha what a transport? Hii sijui kiusalama ipo vipi? Labda niwe nakimbia vita ndiyo nitatumia huo usafiri.

Hii Picha ni ya Zamani.

Wa kwanza kutoka kulia waliokaa ni Al marhum Prof Idrissa Mtulya akiwa Mbunge wa Rufiji

Aliefuata ni Mwanasiasa aliesusa Siasa Prof Mwandosya na hapo Majaliwa alikuwa Kama Naibu waziri wa Tamisemi
 
Hiyo picha kabla hajawa waziri mkuu
 
Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
Mkuu nakubaliana na wewe mia kwa mia na ingefaa hao wanaohusika na usalama wa PM wawajibishwe. Wao ni wataalamu wa mambo ya usalama, walipaswa kumkatalia na akiwa kinganganizi angalau wangepunguza idadi ya abiria.
PM ajiandae kujibu maswali magumu ya papo kwa papo bunge lijalo.
 
Mkuu una pointi
 
Hapo anajikaza tu afanyaje maana huu sio msimu wa Fastjet.
 
Hivi wanavyomchosha huyo nahodha watamlipa sh. Ngapi?

Kusukuma hivyo vitambi si kazi ndogo ati.
 
utaanza kusikia ooh pm mzalendo, kumbe mtu hajawahi kupanda mtumbwi ndo anatolea ushamba hapo!
Duhh, mzaliwa wa Nndagala, Ruangwa ya enzi zile ashindwe kupanda Mtumbwi!! Nitamshangaa sana.
 
Back
Top Bottom