Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

Naona wanapishana kukagua kila Siku! Juzi katibu wa wizara, ndani ya siku mbili naibu, ndani ya siku mbili tena kaenda mkurugenzi! Duuuuuuuh hadi mradi ukamilike mtakuwa mmeenda mara mia nne.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Takwimu za tafiti za saikolojia ya ubongo, concentration na intelligence zinaonesha kwamba dereva aliyeshikilia usukani kwa both hands ana additional advantage kubwa ya 27% zaidi katika kudumisha utulivu na umakini and hence less likely kuencounter accident as compared to wale wanaotumia mkono mmoja, hata kama mkono mwingine umetulia tu mahali hauko busy kwa vitu vingine.
 
Well said, ila wachache watakuelewa
 
Ndio ni za ndani. Kwani ukikopa kisha ukaja kulipa hiyo ni pesa yako au ya mjomba au benki? Tumia akili?

Ukikopa weka wazi kuwa ni kwa mkopo, unaficha vitu kwa manufaa ya nani ikiwa unatupotosha walipaji?
 
Ukikopa weka wazi kuwa ni kwa mkopo, unaficha vitu kwa manufaa ya nani ikiwa unatupotosha walipaji?
Anakupotosha kivipi, tatizo mnakariri. Ukikopa hiyo ni pesa yako. Kwa mfano kale kagari kako ulikonunua kwa mkopo wa benki ulitangaza kwa rafiki zako?

Ndio maana ukikopa hakuna wa kukupangia cha kufanya kwani hizo ni pesa zako.
 
Kwa hii falsafa uliyotumia hapa, unadhani hata yule uliyekuwa unamjibu naye pia atakuwa amekuelewa?
 
Ndio ni za ndani. Kwani ukikopa kisha ukaja kulipa hiyo ni pesa yako au ya mjomba au benki? Tumia akili?
Hahahah, umemjibu vizuri, anasahau kwa mkopo si zawadi, mkopo maana yake unalipa tena na riba juu, kwahiyo si msaada, hivyo ni fedha za ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaofichwa ni wananchi bana.
Pesa ni yao na kwamba wao ndio wanapaswa kujulishwa kuwa tumekopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…