Ujenzi Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) mkoani Mwanza wafikia asilimia 75

Jun 4, 2022
68
184
Picha mbalimbali za muonekano wa daraja la JPM lenye urefu wa kilomita 4.6 linalojengwa katika eneo la Kigongo - Busisi, jijini Mwanza.

Leo Juni 14, 2023 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalogharimu shilingi bilioni 716, ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 75.

IMG_20230614_104505_665.jpg
IMG_20230614_104505_750.jpg
IMG_20230614_104505_796.jpg
 
Hilo eneo lina return ya kutosha kiasi cha kutumia fedha zote hizo kwenye ujenzi wa hilo daraja?

NB:- Naomba mtu atakaye jisikia kunijibu, basi ajikite zaidi kwenye hoja yenye ushawishi. Maana sina uelewa wowote na hilo eneo la Kigongo-Busisi.
 
Ila siku mayatima na marehemu wengi wakifia kwenye vivuko hapo kutakuwa na return ya hao marehemu.
 
Back
Top Bottom