Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

Hivi Pasco ni Tahahira au anajipendekeza tu huwezi sema Maandamano ya kijinga kijinga vitu vilivyo kwenye katiba... pumbavu... Kuna Maandamano hadi ya kutembeza sanamu la Yesu kwa Roman Catholic nao ni ujinga? Acha dharau
 
NI utaratibu wa kawaida kabisa kwa Waafrika nashangaa mbona kuna watu wanahamaki
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Wewe Pascal ni mnafiki mkubwa why hukutoa hizo sifa kabla hajafa acha tabia za kujipendekeza
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Maandamano na migogoro ya kijinga ni yapi? Acha kushadadia mambo wewe
 
Hivi Pasco ni Tahahira au anajipendekeza tu huwezi sema Maandamano ya kijinga kijinga vitu vilivyo kwenye katiba... pumbavu... Kuna Maandamano hadi ya kutembeza sanamu la Yesu kwa Roman Catholic nao ni ujinga? Acha dharau
Sanamu ya Yesu siyo Sanamu la Yesu. We utakua msabato au mwislamu wa suruali fupi
 
Yakitufika ya kutufika kama misiba. Tuache siasa kando. Ni jambo jema amefanya!
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Maandamano ya kumpongeza magufuli ndio ya kijanja-Wasukuma mna shida sana!
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Una hakika hajawahi kushiriki maandamano? Na ni maandamano yapi unayoyaita ya kijinga nasi tuyaelewe Pascal?
 
Back
Top Bottom