Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Majaliwa.jpg
majaliwa2.jpg

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akisalimiana na mjane Ndehorio Ndesamburo alipowasili nyumbani kwa marehemu aliyekuwa mbunge Mstaafu wa jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo kwaajili ya kitoa rambirambi
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alikuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki baadhi ya maandamano na migomo ya kijingajinga.
Maandamano ya kijinga jinga ni kwa watu kuandamana tuu kwa kufuata mkumbo, bila kujua waandamania nini, yaani yale maandamano yanayoitishwa ili mradi tuu watu wakusanyike, waandamane waonekane wameandamana, lakini hoja wanayoandamania, sio ya kutatuliwa kwa maandamano!.

NB. Kwa msisitizo nimesema baadhi na sio yote!.

RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
 
Huyu waziri mkuu huwa ana busara sana tofauti na mkuu wake. Mungu ambariki kwa utu wake
Subiri utaona unafiki wa baba ubaya siku ikitembelea Moshi atajidai nae kwenda kama ilivyo kwa huyu.
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Acha uhuni Mkuu, Maandamano ni misuguano ya kijingajinga?

hata juzi watu wameandamana, mbona hujakemea?

Hebu kuweni na utu jamani!!!
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Ila nsumba ntale alikataza watu wa CCM kuwatembelea wapinzani wakipatwa na matatizo
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alukuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki maandamano na migomo ya kijingajinga.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
We we ndio mjiga, maandamano na migomo ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe mahali ambapo njia za kawaida zimeshindikana. Wasukuma mna matatizo sana
 
Back
Top Bottom