Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

Katika watu niliokuwa nawaheshimu na wewe ulikuwepo lakini kadri siku zinavyoenda ndiyo nashindwa hata kuelewa ndiyo maana mpaka leo na kesho wanaolirudisha taifa hili nyuma ni nyie tunaowaita .wasomi.
1swal dogo tu nini kinacho sababisha maandamano ??? Ukinijibu kwa busara unaweza ukanishawishi na
Maandamano yako kikatiba???
dah mkuu i was joking tu sikudhan km ni kitu serious hvyo!
 
Unafiki tu huo.pakuagiwa/uwanja, ccm mumnyime Leo aende kwa marehemu,kufanya nini??? Hakika mishipa ya aibu,ccm mmelegeza kabisa ! Tupo tunaendelea kujadili na kufafanua maigizo na sinema zenu za kihindi !
 
Huu ndio utu, siasa sio uadui. Ndesamburo alikuwa mtu wa watu, ni Mzee mstaarabu sana. Katika uongozi wake sikumbuki kusikia maandamano yoyote Moshi wala misuguano isiyo ya msingi au kumuona akishiriki baadhi ya maandamano na migomo ya kijingajinga.
NB. Kwa msisitizo nimesema baadhi na sio yote!.
RIP Ndesamburo
Eid Mubarak.
P
Kama yale ya Iringa juzi!
 
Huyu waziri mkuu huwa ana busara sana tofauti na mkuu wake. Mungu ambariki kwa utu wake
Mkuu tatizo la Pogba kichwani anajijua mwenyewe mikurupuko ndiyo imetawala linalomjia kichwani hapo hapo analifanyia kazi bila kutafakari
 
Pascal Mayala hakuna maandamano ya kijinga hata siku moja,, isipokua kwa tafsiri yako ambayo haiwezi kufanana na wengine kwa sababu wewe sio mlengwa na hayakuhusu. [Try to minimize ethinocentrism]
 
Back
Top Bottom