Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka watanzania waishio Canada wawe na uzalendo kwa Taifa lao

Pangaboi kaikomboa!?

ac6b46606c1744f3db33d4542d3b628b.jpg
26bbd17274c1fde1cfe923b1e0e0bcbe.jpg
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waishio Canada wadumishe mshikamano wao na wawe na uzalendo kwa Taifa lao.

Ametoa wito huo jana Oktoba 31, 2017 wakati akizungumza na Watanzania waishio Toronto, Canada.

Waziri Mkuu ambaye yuko Canada kwa ziara ya kikazi, alisema kila Mtanzania anapaswa ahubiri utaifa wake.

"Tembea huku ukiringia nchi yako, wakati wote ringia nchi yako, unapotakiwa kuisemea nchi yako, iseme vizuri kama ambavyo wengine wanasema vizuri nchi zao licha ya matatizo waliyonayo".

Aliwataka wakumbuke kuweka akiba na wanapopata fursa watume fedha zao nyumbani ili zisaidie kuleta maendeleo.

"Ukipata kitu kidogo, rusha nyumbani, ukimpata mtu anayeweza kuleta tija, mlete nyumbani, nasi tutawapokea wewe na yeye", alisisitiza.

"Tunawasisitiza muitangaze nchi yenu kwa mataifa mengine ili nao waone kuwa Tanzania ni mahala pa fursa, na akitaka kuwekeza ajue kuwa anawekeza mahala ambapo ni salama", alisema Waziri Mkuu.
 
Watu wana uwawa hovyo hamtaki uchunguzi huru,mikutano ya siasa nayo mmezuia,ni kwa ccm pekee kufanya mikutano hata ya mauwaji,licha mikutano ya siasa !,alafu mnahubiri kutangaza vizuri nchi na uzalendo wa ccm ! Pumbavu sana .,wakati nchi ina mifereji ya damu za wasio na hatia ! Unaongea nini wewe jangili wa roho za watu ? Mungu hawa watu wanatia hasira kuliko kipimo.futilia mbali hawa wana majanga wa ccm wanao tugawa na kuiharibu nchi,Amen
 
ac6b46606c1744f3db33d4542d3b628b.jpg
26bbd17274c1fde1cfe923b1e0e0bcbe.jpg
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waishio Canada wadumishe mshikamano wao na wawe na uzalendo kwa Taifa lao.

Ametoa wito huo jana Oktoba 31, 2017 wakati akizungumza na Watanzania waishio Toronto, Canada.

Waziri Mkuu ambaye yuko Canada kwa ziara ya kikazi, alisema kila Mtanzania anapaswa ahubiri utaifa wake.

"Tembea huku ukiringia nchi yako, wakati wote ringia nchi yako, unapotakiwa kuisemea nchi yako, iseme vizuri kama ambavyo wengine wanasema vizuri nchi zao licha ya matatizo waliyonayo".

Aliwataka wakumbuke kuweka akiba na wanapopata fursa watume fedha zao nyumbani ili zisaidie kuleta maendeleo.

"Ukipata kitu kidogo, rusha nyumbani, ukimpata mtu anayeweza kuleta tija, mlete nyumbani, nasi tutawapokea wewe na yeye", alisisitiza.

"Tunawasisitiza muitangaze nchi yenu kwa mataifa mengine ili nao waone kuwa Tanzania ni mahala pa fursa, na akitaka kuwekeza ajue kuwa anawekeza mahala ambapo ni salama", alisema Waziri Mkuu.
Huko canada wiki mbili ni kikazi au yuko busy na bombadier
 
Unfortunately not the stuff you would want to hear! All he said was, tunaletewa ndege nyingine nne. Apparently hizi zitakuwa za "International trips" kwenda kuwabeba watalii ..........:rolleyes:
Tunaletewa na nani tena?
Ni hongo au mwendelezo wa "good faith" teh teh teh!!!

Au ndio ameenda kufungua account binafsi ili barrick watupie mzigo makinikia yayayuke bandarini!!
 
Nawashwa Kichwa "abdala kichwa wazi" vipi huduma ya mtandao pendwa unatoa?
Mawasiliano weka hapa fasta.
Utakuwa unapumuliwa,manywele si kasema mmepata dume nya. La. Ndu, Fanya ujisogeze
 
Huu ujumbe uwafikie Zitto Kabwe na Tindu Lissu
Wasaliti wakuu
mburukenge wewe,tundu lisu inamuhusu nini huo mfuzi aliojamba majaliwa,watanzania wako nchi za nje wanatuma pesa kila uchao tanzania yet bado serekali ya kihanisi inakataa uraia pacha,kenya wameruhusu uraia pacha ila tz ndo akili kunduni.
 
Back
Top Bottom