Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,959
- 95,282
Leo umerukia kwa pm tayari unamsahau jiwe?Huyu sio Kaka Mbowe, ni Waziri Mkuu. Na bado Covid 19 ikipungua ataenda mpaka China na Ndege ya Serikali.
Leo umerukia kwa pm tayari unamsahau jiwe?Huyu sio Kaka Mbowe, ni Waziri Mkuu. Na bado Covid 19 ikipungua ataenda mpaka China na Ndege ya Serikali.
Sukuma gang hamna shukrani yaani miezi miwili tu mshamsahau mfadhili wenu?Huyu sio Kaka Mbowe, ni Waziri Mkuu. Na bado Covid 19 ikipungua ataenda mpaka China na Ndege ya Serikali.
Mazwazwa kazi mnayoSalamu zimefika. Mimi ndo niko zamu kulinda kaburi wiki hii yote.una jingine la kuuliza??
Kweli huyu naye ni kilaza maana hata hesabu hajui.Soma hapa upuuzi wa mumeo nyalandu View attachment 1773584
Wewe ndiyo hujui unaye tegemea tbc kama chanzo chako cha habari.ni wapi umeambiwa kua hio ni ziara ya kichama?
Umeandika matapishi ya komoni.Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!
Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!
Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!
Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!
Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.
Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!
Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!
Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!
Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.
Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli
Unawatesa watu wasiyo na akili kama wewe.Mzimu wake utawatesa sana kenge nyie
Jibu hojaUmeandika matapishi ya komoni.
Kwani wewe mimba hiyo ushajifungua?Mimba ya jiwe na mzimu wake vitakutesa mpaka kufa. Nyanoko
Ogopa sana coronaMimba ya jiwe na mzimu wake vitakutesa mpaka kufa. Nyanoko
Umemaliza shughuliNyanoko lushinto lwako jiwe kakupa ngwengwe uncircumcised baboon wewe
Afyekeleeeeee mbali hilo baraza la mawaziri maana wengine watakuwa wanamuhujumuKwa hakika itamgharimu mama sana. Avunje aunde lingine.
Hizo ni kampeni.
Alafu atasema rais hawezi kuwa anakwenda kuzulula hovyo kariakooAnaenda kuabudu katika kaburi la mtukufu hayati
Baada ya ziara yake hii utamsikia anasema Hayati ni mzima yupo kaburini anachapa kazi
Ushaharibu hapo mwisho maana umeamua kumdharau sana marehemu Sokoine kwa kumlinganisha na huyo jiweKasim Majaliwa anatakiwa kufanya mambo mawili tu ambayo yatampaisha, moja achukue ukurasa moja tu wa hayati Moringe Sokoine, then mbili ukurasa wa JPM.
Alitaka masaburi yako ndiyo yatumikeUlitaka atumie mat'ko yako siyo?
Tunamtegemea rais SamiaOn your dreams, Waziri mkuu hivi sasa ndiye tunayemtegemea zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Anaenda kwenye kampeini kule kigomaShughuli gani za Chama amekwenda kuzifanya?
Jiwe alishazikwa lkn wewe bado unatokwa na mapovu utadhani umekula uyoga wenye sumu.Napendekeza, akitoka hapo, ashuke Butiama na baadaye aruke zake kuelekea Lupaso ili wale wenzetu waliojawa na chuki wafe kwa stress!
Jiwe lishageuka vumbiNa kama wanataka wapate majibu kutoka kwa magufuli basi inampasa mwenyekiti wa chadema ndugu MBOWE naye afariki ili awe na uwezo wa kwenda ku-communicate na magufuli huko aliko.
AnarohojaJibu hoja