Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

FITINA, UZANDIKI, CHUKI, UCHOYO, ROHO MBAYA ndio vinakusumbua

Paukwa pa pakawa...........................jiwe lililokataliwa ndio litakuwa jiwe kuu la pembeni kunusuru ukuta wa nyumba kuanguaka
Jiwe lipi hilo limekuwa kuu? Unaongelea hili jiwe lililopasuka ???? Acha ndoto za alinacha , he is no more, puga kazi mzee, hafufuki tena fanya kazi acha kusubiri kuitwa mnyonge.
 
1. Ukiwa Rais ni sharti uwe na sifa za KIONGOZI+MTAWALA=MTENDAJI hapo sheria na mantki ndio hufanya kazi kwa hiyo yupo anayeumizwa na yupo anayepataka nafuu kulingana na utii kutoka kwa MTENDAJI
2. Ukiwa kiongozi pekee, wafuasi wako watafuata uelekeo alioutoa kwa umma kisha kila mtu atafanya alivyoelekezwa ili mradi ni uelekeo huo ila vitendo vya kudhibiti na kukemea ni sifuri
3. Ukiwa MTAWALA pekee, wafuasi wako watazingatia uelekeo, matakwa, na matokeo yatakayompata endapo atakosea ila baadhi wachache wenye kuona wanataka kuwa huru kufanya wanaloliona wao linafaa wataumizwa kutokana na kutozingatia mwelekeo, matakwa na matokeo ya kutozingatia masharti

Utu, Uhuru, haki na Demokrasia viantakiwa visimamiwe na namba 1, vikiangukia kati ya 2 au 3 kuna kundi la watu jeuri, legelege, ubinafsi na wasiowaaminifu watapata madhara kutokana na madhara ya ukaidi au kutokuwa na kiasi

Tanzania mnahitaji njia ipi?
Jiwe alikuwa Namba 3 hapo juu.
Yule alikuwa agent wa Lucifer
 
Afyekeleeeeee mbali hilo baraza la mawaziri maana wengine watakuwa wanamuhujumu
Kuna mtu mmoja leo ameandika kwa kirefu sana jinsi Mh. Rais SSH anavyohujumiwa na Sukuma Gang ambayo ina mchangantiko na wateule wengine ikiongozwa na mtumishi mmoja aliyekuwa Wizara ya Fedha na mawaziri wawili chini ya Mh. Samia
 
Kuna mtu mmoja leo ameandika kwa kirefu sana jinsi Mh. Rais SSH anavyohujumiwa na Sukuma Gang ambayo ina mchangantiko na wateule wengine ikiongozwa na mtumishi mmoja aliyekuwa Wizara ya Fedha na mawaziri wawili chini ya Mh. Samia
Mama angefanya overhaul kabisa hapo angekuwa salama .
 
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Kadri mwendazake anavyozidi kuoza huko alikofukiwa akili za Sukuma gang zinarudi reverse kwa speed ya kutisha sana, bora isifikie kuanza kuokota makopo tu.
 
Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Hiyo ni Folker ya Rais kati ya zile ndege mbili za Rais ambapo alitoa moja kwa ATCL.
Ziara ya PM chato ni ya Kiserikali.
 
Sio dharau ila naona wanatuonesha hayo mandege hayana kazi kifupi tulikurupuka kununua.. naona hata nae mama katumia hizo hizo japo ndege ya raisi ipo.
Hiyo ndege pichani siyo mpya na si kati ya zilizonunuliwa na JPM, hiyo ni Fokker 50 ya zamani sana kabla ya kununuliwa Gulfstream enzi za mkapa. Hiyo ndiyo JPM aliwapa ATCL japo sijawahi ona inatumika na ATCL. Mara nyingi anaitumia PM katika ziara zake so ni kama bado ipo serikalini.
 
Hiyo ndege pichani siyo mpya na si kati ya zilizonunuliwa na JPM, hiyo ni Fokker 50 ya zamani sana kabla ya kununuliwa Gulfstream enzi za mkapa. Hiyo ndiyo JPM aliwapa ATCL japo sijawahi ona inatumika na ATCL. Mara nyingi anaitumia PM katika ziara zake so ni kama bado ipo serikalini.
Maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom