Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Kwenye kampeni za CCM atumie mali ya umma? nimekutukana tusi kubwa sn
Umewahi kuona rais wa marekani anapokwenda kufanya kampeini za kisiasa huwa anatumia ndege gani? Air Force One !! Ni mojawapo ya privileges alizonazo ingawa baadaye kampeini inalipia sehemu za gharama.

1620677488812.png
 
Kwenye kampeni za CCM atumie mali ya umma? nimekutukana tusi kubwa sn
Unatuaminisha "Waziri Mkuu" Msimamizi "mkuu wa baraza la mawaziri", yupo kwenye kampeni ya kiserikali? Na haruhusiwi kutumia ndege ya serikali?
 
Jamani acheni aende mbona mnawapangia watu kupenda anachoamini ?Kwenda kumsalimia huyo Mama nayo nongwa CHADEMA mna shida gani?
Wewe ndiye unamatatizo ya akili,kama safari binafsi hapangiwi,lakini akitumia fedha zetu kwa safari binafsi tutasema.

Rais alikosea sana kumuacha huyu madarakani,afadhari angemteua member kuwa pm.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom