anasema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania MUSEVI anasema hajui mradi wa Tanga kinachoendelea!!! Tanzania ni janga

    Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Muuza Kangala: Wananchi wanasema jezi zinafaa, Waziri anasema ni mbaya kunani?

    Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa. Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho yake ni mbaya na hazifai. Kuna nini? Kuna ka ten pasenti kamempita kushoto?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Paul Bonaventure anasemajé kuhusu final submission ya kesi ya Lisu

    Final submissions, hapa ndipo kesi ya Lissu itawekwa kwenye mizani ya sheria na ushahidi. 👇🏾 Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi mpaka sasa, nadhani final submissions zitakuwa ndio sehemu ambayo kila upande utajaribu kuunganisha vipande vyote vya ushahidi na kuvifanya viwe legal theory moja...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama mabinti! Konda wa daladala akiuliza iwapo kuna mtu anataka kushuka kituo kinachofuata, utasikia mwanaume mzima anasema, 'SHUSHAAA!' 🤮

    Mwanaume unashindana na wananawake kutamka neno, SHUSHAAA! Kwenye daladala? Si useme tu, mimi nashuka hapo mbele. Wanaume kama Jamila bhana!
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Anasema...

    https://youtu.be/tnZ17-mofYo?si=7ZDvTZvBUmaI6t-b
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo nisikie kiongozi wa dini anasema utawala hutoka mbinguni.

    Walah najiapiza siku hio nitajulikana.. Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!! How comes!! How is that possible?? AU kibali cha uongozi Mungu ambacho hua anatoa ni kwa Rais tu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

    Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔 Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka. Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza mimi binafsi kwa watu, ndicho huyu mzee anasema

    Mwaka 2011 nilipata kazi na kuajiriwa as mwalimu serikalini hiyo ni baada ya kusota sana kutafta ajira ya fani yangu ya Sheria . Nilikula msoto sana kupata ajira ya sheria , no connection in town huna ajira zaidi ya kufanya KAZI ya kujitolea kweny law firm . pamoja na familia yangu kuwa na...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Masikio yangu yanaumia sana nikimsikia mtu anasema, "binafsi yangu" 😸😹

    Hivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini? Binafsi + yangu= ?
Back
Top Bottom