Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Crashwise uko bia ya ngapi? Amenusurika KIFO alafu unasema RIP!!!!!msafara wa Makame Mbalawa uliokuwa unatoka sengerema kuelekea bukoba umegongwa na basi lilokuwa linatokea geita kwenda mwanza, dereva wake na mtaalam wa ttcl nae kaumia..
rip Makame
source: radio 1
Jimbo lipo wazi tayari....?
Jimbo lipo wazi tayari....?
Ni breaking news ya radio one stereo.
Dereva wake ajeruhiwa, pamoja na meneja wa TTCL kanda ya ziwa.
Hali ya waziri mwenyewe haijatajwa kama amejeruhiwa ama yuko salama.
Ajali hiyo imetokea mkoani Geita wakati gari iliyombeba waziri Mbarawa ilipogongwa na basi lililokuwa linatokea mkoani Kagera kwenda Mwanza.
Msafara wake ulikuwa unaelekea mkoani Kagera ambapo waziri alikuwa anakwenda kukagua mkongo wa Taifa.
rip Makame
hatamimi nashangaa huyu si ndiyo alipendekeza tukatwe buku kwa kila line ya simu..
kwani Rip ni nini?
kafa au mzima?
Nlijua tu,,
Hii issue ya KODI YA SIMCARD lazima itaondoka na mtu tu, bahati yake nae yuko fit, maana tulikua tunahesabu goli.
Pumzika kwa amani!!!!!