Watu bwana, yaani kwa vile kuna thread nyingi hapa zinasema Masha fisadi, basi na hapa wameng'ang'ana Masha has to go bila kuwa na sababu which is clearly stated.
Hiyo barua haimweki ina Mawili, either Masha has to Go or hao Makatibu wakuu wawili. What if Katibu Mkuu ndio ali-leak-isha info kwa Sagem? if not what prevailed had Sagem wakalalamika? hili hakuna mtu anayetaka kuliongelea.
Kwa hiyo Masha angesubiri tu taarifa akaisome bungeni, hajui background; then akiulizwa maswali ajibu nini? If that is the system it is more than rotten, bogus and no wonder mambo yanakwenda ndivyo sivyo kila leo.
Kama hamtakubali kubadili hilo lisystem lenu la uongozi, mtaendelea kulia sana...na endeleeni kuendesha nchi kwa mazoea na sio kufuata taratibu.
Hapa hypothesis nyingine inakuwa derived kuwa huko kwenye system kuna cold war between wazee waliozoea kuendesha nchi kwa uzoefu na vijana 'labda' wanaotaka kuendesha nchi kwa kufuata organisational ranks na taratibu.
Sielewi bado bwana Ogah, inakuwaje Katibu Mkuu apeleke taarifa na Katibu Mkuu Kiongozi, na Katibu Mkuu Kiongozi atoe rulluing bila kushauriana na Waziri husika?
Sikatai kwamba Masha has to go, but there is a need to know he has to go on which grounds.
Kwa hiyo Masha angesubiri tu taarifa akaisome bungeni, hajui background; then akiulizwa maswali ajibu nini? If that is the system it is more than rotten, bogus and no wonder mambo yanakwenda ndivyo sivyo kila leo.
Wakuu hoja ipo kwenye kamati ya ubunge mambo ya nje,ulinzi na usalama, kinachotakiwa kama waziri mkuu alivyosema DR.slaa angesubiri mchakato umalizike hapo pangekuwa patamu na ingekuwa kazi rahisi kumuhukumu muhusika halisi.
Ndio maana huyu Katibu Wizara Mambo ya Ndani hayupo tena. Replacement wake ni Rutabanzibwa IPTL should know this guy very well. Hizi biashara mchwara zimekwisha.Masha hapa kosa lake nini? hebu tuambizane kwa mapana jamani. Katika hiyo barua, Masha kafanya nini kinachoonyesha kuwa yuko guilty? After all bado details zinahitajika hapa, hao Sagem walijuaje kama wameenguliwa kwenye mchakato? Nani anajua hili?
Kuna nini kimefichwa kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Kiongozi? Kwa nini wanafanya mambo bila kumjulisha Waziri wa Mambo ya ndani? Wamemwona, mtoto sana hivyo hawezi kuwaelekeza wazee wenye uzoefu au wanataka kumwangusha Masha kisiasa?
Hao makatibu wote wawili wamemdharau waziri Masha na wanapaswa kuwajibika/shwa regardless Masha ni Fisadi, mtoto au hawezi kazi!
Nziku kama kweli Waziri alikuwa akipata briefings, inakuwaje hapa analalamika
Mimi nimecheka tuu ile barua ya katibu mkuu. Kumbe bado wanatumia ile slogan ya "SIRI SANA" Duh..hawa wazee inabidi wakubali tuu..train ya globalization na IT inawaacha stand!
Hapo alicholalamika hakipeleki kwenye assumption yako. Waziri halalamiki kutopewa briefing, analalamikia maamuzi ya CS kumwagiza PS wake aandike cabinet paper. Waziri alitegemea kuulizwa kwanza kitu ambacho siyo cha lazima.
Taarifa ya PS wake kwenda kwa CS juu ya utekelezaji wa mradi huo haina matata. Matata ni juu ya maamuzi ya CS kutanzua deadlock iliyopo.
Kuna watu humu ndani mna chuki dhidi ya Masha. Hata afanye nini, tayari mmeshajenga mtazamo hasi juu yake. Mpaka hapo mimi sijaona kosa lake.
Wakuu hapa kazi ipo, mimi nimeona matatizo yafuatayo:-
1) uandishi wa barua siyo makini kabisa. Mhe. ni msomi (Masters holder) tena mwanasheria aliyebobea, inakuwaje aandike barua shallow hivyo! 60% ya barua ni malalamiko kutoka sagem, nilitegemea kuona kiambatanisho A, kiwe malalamiko ya sagem.
Yaaah, hamna kitu mkuu lakini naona watu wanaendelea na discussion, sijui wamepata wapi wanachojadili!Mkuu Inv,
Mbona zipped folder iko empty? Au ni kwangu tu?
Hilo lisystem lenu linahitaji overhaul, wazee wote na vijana wsiopenda kufuata taratibu bali mazoea mazoea na kulindana waachie ngazi mara moja.
Lisystem lenu limejaa majungu, fitina, siasa za kukomoana na kutegeana. Halafu mnajivunia system system.....hakuna lolote umafia mtupu humo ndani.
Hiyo sifa kijana Masha hana n wala hastahili..!!!
Yaaah, hamna kitu mkuu lakini naona watu wanaendelea na discussion, sijui wamepata wapi wanachojadili!