Waziri Makamba: Kila nyumba itakuwa na mtungi wa gesi

Wewe ni zaidi ya mpumbavu, acha kuona watu wote wajinga. Mwanzo uliposema gesi ya 1000 inatosha ulimaanisha nn? Sasa hivi unasema mtu anaweza kununua zaidi.

Mnafanya watu kama mandondocha sio?
Akuna aliefanywa mpumbavu ila watu mnataka ubishi usio na msingi mnataka gesi ya tshs25000/= ifanane na ya tshs1000/= si utaahira huu?
Kama unamatumizi madogo mfano kupika chai,kupasha chakula,kikaanga mayai nk

Gesi imeisha na mfukoni una 1000 unaweza kununua na kuendelea na mapishi tusipenda kuwa Pinga Pinga hata kwa mambo yanayoonekana
 
Ahsante kwa ujumbe mzuri boss. Gesi ya 1000 inatosha kabisa kupikia kwa matumizi ya kawaida. Kama una matumizi makubwa teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima kufuatana na pesa yako.
Bei zenu na makampuni mengine ni sawa au Kuna utofauti?

Ya kama nitanunua gasi ya elfu Moja Moja Hadi itakapofika elfu 20 kiasi nitakachokua nimetumia Yani hizo Kg za gasi kitakuwa sawa endapo ningenunua ya elfu 20 kwa mara Moja?
 
Bila kutuambia hilo litawezekana lini linabaki kuwa siasa. Mitaa ya Sinza kuna mabomba ya gesi mitaani lkn TPDC hadi sasa wamefeli kuwaunganisha wateja wa majumbani wanaosuburi huduma hiyo kwa miezi sasa.

Vv
Ila pia wajiandae. Baada ya kuwaunganisha wananchi hiyo gas pia wawape elimu namna ya kuitumia kwa usala wao. Watanzania hawajazoea hiyo nishati... Kama hawata jua kuitumia vizuri inaweza kuleta madhara makubwa pia. Inaweza kuleta vilio mitaani.......!!!
 
Hatujaweza maji wala umene ndio iwezekani mtungi wa gesi kweli? Inawezekana ni kama kusema kila nyumba ina uwezo wa kuwa na dumu la maji ikitaja.
 
Back
Top Bottom