Waziri Lukuvi kwa hili umekengeuka!

Waziri Lukuvi kwa hili umekengeuka!

Wamwite "master planner-general" Kitwana Kondo liyeuvuruga kabisa mji huu akiwa meya

KITWANA%2BKONDO.jpg
Namuona mama Sophia simba wa kwanza kulia daaaaah.... katokea mbali leo hii anafukuzwa uanachama kirahisi tu mweee...
 
Kwa nini mkuu?
"Wataalam" wetu wa upimaji ardhi, utaalam wao unaishia kumega viploti viwe vidogo vidogo ili waweze kuviuza kama njugu.

Hawana exposure wala uzoefu.

Prime area kama Mbezi Beach "wataalam wetu" wanaweka industrial plots.
Effluents kutoka viwanda kama Cotex zitaenda wapi!

Tukubali, "wataalam" wetu wana vyeti ila hakuna utaalam ni ajira tu ya kusukuma mafaili.
 
Wataalam wetu wa Ardhi ni bogus kabisa.
Nipe jina la mmoja tu aliyefanya vizuri.
HAKUNA.

Baada ya uhuru, wajerumani waliipanga vizuri maeneo ya Temeke, Wailes, Magomeni, sehemu za Kinondoni.
Barabara pana na nyumba zinna nafasi.

Baadaye "wataalam wetu" waliipanga Sinza na Mwenge, Mbezi Beach na tunaona uozo, hata gari mbili hazipishani.

Mtu katoka kijijinni hana maisha ya uzoefu wa miji, atakupangia nini?

Tukubali ukweli, wataalam wa upimaji ardhi hatuna.
Kuna Vitu viwili unachanganya,Mleta mada anaongelea kitendo cha wataalamu kuja kufanya utaalamu ambao wataalamu wapo,wewe unaongelea utekelezaji wa kazi ya kitaalamu. Hata hao wataalamu wakija yanaweza kuishia kwenye vitabu vinavyoitwa masterplan alafu ukabaki kulalamika.Serikali ikitaka kutekeleza sheria za ardhi mnaona ni chungu na kulalamika,isipotekeleza mnalalamikia wataalamu.Ili kazi ya mtaalamu uione na ikuvutie lazima mapendekezo yanayotolewa na wataalamu yatekelezwe na secta zote kama miundo mbinu.
 
"Wataalam" wetu wa upimaji ardhi, utaalam wao unaidhia kumega viploti viwe vidogo vidogo ili waweze kuviuza ksma njugu.

Hawana exposure wala uzoefu.

Prime area kama Mbezi Besch "wataalsm wetu" wanaweka industrual plots.
Effluents kutoka viwanda kama Cotex zitaenda wapi!

Tukubali, "wataalam" wetu wana vyeti ila hakuna utaalam ni ajira tu ya kusukuma mafaili.
No comment
 
Kuna Vitu viwili unachanganya,Mleta mada anaongelea kitendo cha wataalamu kuja kufanya utaalamu ambao wataalamu wapo,wewe unaongelea utekelezaji wa kazi ya kitaalamu. Hata hao wataalamu wakija yanaweza kuishia kwenye vitabu vinavyoitwa masterplan alafu ukabaki kulalamika.Serikali ikitaka kutekeleza sheria za ardhi mnaona ni chungu na kulalamika,isipotekeleza mnalalamikia wataalamu.Ili kazi ya mtaalamu uione na ikuvutie lazima mapendekezo yanayotolewa na wataalamu yatekelezwe na secta zote kama miundo mbinu.
Nakuunga mkono
 
Mkuu wewe ndio unachanganya mambo!
Kama hujui kutengeneza Master Plan, utaitekelezaje?
Mfano wa uozo wa "wataalam" wetu upimaji na mipango miji.
Mbezi Beach pale, barabara ya Bagamoyo kuna viwanda vimepangwa tokea InterChick,Cotex, Saba General hadi Mbezi Tiles na Raffia Bags.
Kama si uenda wazimu wa Mipango Miji na upimaji wao, effluents za hivyo viwanda zinaenda wapi?
Wakati huo huo una posh area ya Kilongawima, Mbezi Beach area.

Pure madness!
Huhitaji kwenda shule kuambiwa kosa hilo.
Pili mpimaji/mpangaji ardhi toka kijijini huyo hakuon mbele haa miaka 20!!!
 
Nimekusikia mahala ukisema kuwa Tanzania imechukuwa Wataalam wa kufanya Master Plan ya Mkoa wa Dodoma kutoka nchini Singapore kwahiyo ndiyo kusema Wataalam wetu wa Chuo cha ARDHI ni bogus au ni incompetent?

Kazi tunayo Waafrika hakyanani.
Kusema kweli waafrika bado tuna inferiority complex na sidhan kma itatoka....sielewi kwanni serikali yenyr weledi haijui kutumia rasilimali zake... Sielew kama wizara ya Ardhi inatambua na kuhonor rasilimali watu wake katika fani zinazotambulika za Ardhi..najiuliza hawa watu kazi yao no kukata viwanja tuh ?...Ntazngumza kuelzea jnsi ninavyohisi siasa inaharibu professional zetu...wizara ya Ardhi nadhan imegubikwa na siasa said katika utendaji...Kwasababu kuna maprofesa ambao ni watendaj wazuri nahsi wanazibwa mdomo na siasa katka wzara hii...Leo waziri anasema et wamehire kampuni ipige aerial photograph kwa dola mil3 .. Hapa nadhan kuna tatzo...wataalam wamrjaa ardh chungu nzma ... Hii kweli Tanzagiza
 
Wataalam wetu wa Ardhi ni bogus kabisa.
Nipe jina la mmoja tu aliyefanya vizuri.
HAKUNA.

Baada ya uhuru, wajerumani waliipanga vizuri maeneo ya Temeke, Wailes, Magomeni, sehemu za Kinondoni.
Barabara pana na nyumba zinna nafasi.

Baadaye "wataalam wetu" waliipanga Sinza na Mwenge, Mbezi Beach na tunaona uozo, hata gari mbili hazipishani.

Mtu katoka kijijinni hana maisha ya uzoefu wa miji, atakupangia nini?

Tukubali ukweli, wataalam wa upimaji ardhi hatuna.
Wewe na we hujielewi ...kwan waliokosea master plan ya dar nu kampun gan kma sio ya mbele tena Italy....we jomba VP.... Hujui kitu usicomment
 
Nyie ndo wale wale wa viwanja vya passport size!
N nadhan pia huelewi rzon behind ya Sinza nhood...hya unazungumzia viwanja vya mbez iv ukiangalia ule upande ulikuwa umrpmwa kabla ya DVT au ilikuja kurasimishwa n kwa muono tuh..siasa IMO ndani yake...coz lile eneo lna nyuma hakujapangwa n kuna mkondo wa maji....
 
We huelewi hta how sinza was created n hujui transformation yake....
At least we see your poor products!!
Very poor!
Viwanja passport size kutkana na passport size thinking ya wataalam wetu wa Planning /Upimaji ardhi.
 
At least we see your poor products!!
Very poor!
Viwanja passport size kutkana na passport size thinking ya wataalam wetu wa Planning /Upimaji ardhi.
Mda mwngne sio vzuri kubshana na mtu ambaye kamwe hawez kuelewa.....shikamoo...
 
Kama ni kweli..basi itaonesha wajuzi wa ndani hawathaminiwi
 
Back
Top Bottom