Waziri Lukuvi kwa hili umekengeuka!

Waziri Lukuvi kwa hili umekengeuka!

Mkuu nakubaliana nawe 100% huhitaji degree kwa sinza. Hawa wataalamu wetu hata sijui hawajui hata Historia ya miji hii wanapo panga miradi ya ujenzi! Mfano Pale kawe club NHC eti wanajenga Maghorofa kwenye eneo ambalo kuna mkondo wa maji kwenda Baharini! ipo siku watajuta. Ndiyo maana flyovers na interchange za Barabarani mpaka waje wajapani au wachina!!
Mkuu pale Kawe,NHC tunawasubiri tu.
 
Ukisema ivo nenda kamtoe rais wako pale maana chato na ikulu WAP na WAP..... binadam buana..hapa nabshana na MTU inawezkana hajui hta master plan ni nni...
Masterplan ni basic of the basics katika land management.
Naona kijana hilo ndo peke yake ulilolikariri kwa ajili ya mitihani, na si ajabu usilione tena katika maisha ya kazi yako.
 
Masterplan ni basic of the basics katika land management.
Naona kijana hilo ndo peke yake ulilolikariri kwa ajili ya mitihani, na si ajabu usilione tena katika maisha ya kazi yako.
Sasa Google pia uangalie development of sinza n'hood...kmbe unawwza ha ha ha
 
Masterplan ni basic of the basics katika land management.
Naona kijana hilo ndo peke yake ulilolikariri kwa ajili ya mitihani, na si ajabu usilione tena katika maisha ya kazi yako.
Ukishindwa nambie nkupatie docs uelewe...sio kusemasema
 
Sawa kabisa na ndicho nilichosema!
Mtu anaajiriwa Halmashauri, sehemu yenye uozo wa hali ya juu, halafu anakaa squatter.
Atapanga nini?

Ati viwanja vya 15mx25m, vingine 12mx20m!
Squatter zote hizo.

Lakini na sisi we are expecting too much, kijana katika kijijini, kasoma hadi ardhi, na hiyo ndo total exposure yake.

Sad!
Wapelekwe hata Far East kujifunza na kutekeleza mipangomiji safi.
Mkuu hawa watu wa Far East serikali zao wali invest kwenye kuelimisha vijana wao wakawapeleka criss cross around the world in late 70's. Kuna mpwa wangu aliikuwa nao UNI UK walipomaliza kusoma wakarudi kwao na angalia Malaysia walivyopiga hatua. Hapa kwetu eti NHC inapeleka kamati ya wabunge 30 eti kwenye ziara ya Mafunzo Dubai,Singapore! are we serious?
It's really sad news
 
sio hicho tu naumia sana kuona nipo mtaani na taaluma yngu ya land survey and GIS, but kuna image imenunuliwa kwa ajili ya kufanya planning ya wilaya ya ilala na ameipeleka denmark kwa ajili ya kutafsiliwa au kufanyiwa image processing and classification wakati tupo mtaani vijana tumefundishwa hayo mambo ya image analysis.
 
Nimekusikia mahala ukisema kuwa Tanzania imechukuwa Wataalam wa kufanya Master Plan ya Mkoa wa Dodoma kutoka nchini Singapore kwahiyo ndiyo kusema Wataalam wetu wa Chuo cha ARDHI ni bogus au ni incompetent?

Kazi tunayo Waafrika hakyanani.
Kuna mtu humu nimesoma kasema kosa kubwa la Mungu ni kumuumba Mwafrika
 
Nimekusikia mahala ukisema kuwa Tanzania imechukuwa Wataalam wa kufanya Master Plan ya Mkoa wa Dodoma kutoka nchini Singapore kwahiyo ndiyo kusema Wataalam wetu wa Chuo cha ARDHI ni bogus au ni incompetent?

Kazi tunayo Waafrika hakyanani.
Genta master plan ina involve nini kiasi ARDHI hawawezi kufanya, what is masterplan
 
Hawa wataalam wetu si ndio waliopanga mji tandale?
 
Hii nchi sijui wataalamu na sisi wananchi tulirogwaaa! Sijui tulilaaniwa! Waliopo hakuna wanachokifanya, hata ile kuiweka mitaa vyema tu hawana muda huo, utasikia wanafanya UPEMBUZI YAKINIFU, baada ya hapo ndo imeisha hivyo.

Huwa najiuliza hasa majukumu yao ni yapi, sipati majibu
 
Mkuu tena ni wepesi kulalamika hao na kuwatupia lawama wanasiasa,wakipewa kazi ni sub standard mfano barabara ya mtaa wa uhuru kipande cha kutoka uwanja wa Karume mpaka Msimbazi mashimo wakati toka ijengwe hata miaka miwili haina!
 
Bora hiyo bara bara ndugu, barabara ya Chang'ombe hapo Veta, unganisha mpaka Mandela rudi na Kawawa yote, hivi ile ilivyokuwa inajengwa hapakuwa na mhandisi wa jiji kuithibitisha kama ipo sawa ama la?!
 
Kwa hizo kazi ambazo tumezitaja zilizofanywa na wataalam wetu kweli tuna wataalam? Basi hata kuweka viraka pia zero baada ya mwezi panachimbika upyaaa....!! Ukiuliza utajibiwa mchakato uliingiliwa na wanasiasa!
I really can't understand!!
 
Back
Top Bottom