Hii kasi ya huyu waziri naiona zaidi kwenye media ... Ila huku kitaa mambo yanaenda very slow ... as slow as snail ... sijui hii wizara inakwama wapiWaziri Lukuvi ameteua wajumbe hao 7 wa bodi ya shirika la nyumba la taifa, leo Mei 20, 2019 siku chache baada ya Rais Magufuli kumteua Dr. Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa bodi hiyo.
Wajumbe walioteuliwa ni,
1. Bi. Immaculate Senye
2. Bi. Sauda Msemu
3. Bw. Abdallah Mwinyimvua
4. Bw. Humphrey Polepole
5. Bw. Martine Madeke
6. Eng. Mwita Rubirya
7. Bw. Charles Singili
View attachment 1103317