Waziri Lukuvi Atenguliwe na Kupandishwa Kizimbani Kwa Robbery?. Mahakama Zimekuweje?!. Sasa Pesa Ndio Kila Kitu!.

Sawa . Kama waziri alipora
1. Kwanini aite polisi na kuzikabidhi?
2. Aliyeitwa iwe kimakosa au pasipio kosa kupekeka hati alienda kwa miguu au na gari?
3. Kama alikuwa kwa miguu aliwezaje kuwa na ujasir wa kutembea na dola 40,000 hadi ofisi kwa waziri mlinzi wake yuko wapi?
4. Kama alikuwa na gari kwa lengo gani hakuziacha pesa kwenye gari na kuelekea nazo kwa mh?
5. Baada ya kukabwa ukabaji unaonesha wa maelewano maana hakupiga kelele alilipoti wapi?
5. Je hati aliwasilisha au aliwasilisha pesa za kukabwa nazo?
Mahakama kumuachia huyu kuwa hana kosa ni kushindwa kutumia hata ile common sense
Ok. Je Mahakama imemkuta waziri na hizo pesa au zilikuwa polisi?
Mahakama imejidhisha na uchunguzi wa polisi walioitwa na kupewa hizo pesa kuwa wazipata kwa mkabaji?
Je mtuhumiwa aliithibitishia mahakama kuwa alikabwa kwa ushaidi gani? Alikabwa lini?
Nadhani anahitajika kukamatwa upya
 
1.Hiyo ni imani yako
2.Kwani sheria inakataza kutembea na hela keshi?
3.Hizo hela kwa US dola ni noti chache mno.
4.Kwanini ofisi ya Lukuvi haina cctv ? Lengo ni nini?
5.Kwanini Lukuvi alibaki na mtuhumiwa tu wakiwa wawili,lengo lilukuwa ni nini?

NB; Ni makosa kwa mahakama kumfunga mtu kwa ushahidi dhaifu, ni bora kumuachia huru kisha kama Jamhuri ina nia ya kuendelea na kesi wakakusanye ushahidi vizuri.

Siku yoyote usikubali kubaki wawili ukehisi mazingira ya utata utata.

Merry Xmas
Kwani ofisin kwa Waziri huwa watu wangapi? Au tu kwa Kamishina?
 
Paschal, Ningekuwa hakimu au jaji ningetoa uamuzi huo huo. Hapo ni suala la ushahidi tu....Prosecution side have to prove beyond any reasonable doubt. kwamba ni kweli kuwa Kiluwa alimhonga waziri Shs mil.90. Kama walikuwa wawili unaweza kuhisi kama mimi na wewe kuwa ni kweli based na mazingira kuwa Bw. Kiluwa alibeba Million 90 kwenda ofisini kwa waziri lakini kwa haki kutendeka kunatakiwa kuwa na uthibitisho kuwa alikwenda nazo kwa ajili ya kutoa hongo...Je akisema Nilikuwa natembea na pesa zangu kwa vile nilikuwa na appointment na waziri niliamua niingie nazo ofisini kwa waziri ili zisiibiwe? Hiyo ni sababu tosha za kushinda kesi!!!!! Hakuna ubishi hapo.....Waziri kusema tu alinipa rushwa ofisini kwangu haitoshi inabidi athibitishe....angekuwa na mtu mwingine ofisini au jamaa wa PCCB wangekuwa wamejificha kwenye makabati ya ofisini wangekuwa na kiilelezo.

field marshall naomba nawe unisaidie kwani kuna swali langu nilimwuuliza Pascal kuwa Lukuvi na Kiluwa nani alitangulia kuingia Dar? mpaka leo bado sijajibiwa...halafu ktk kupitia gazeti moja la jana (Tanzania Daima) nimeona ushahidi wa mheshimiwa Lukuvi pale mahakamani akisema kuwa alipewa taarifa mapema na mtu wake kuwa kuna pesa chafu inaletwa kwake sasa hapo ndio nikajiuliza kwanini mkuu hakutayarisha mtego mzuri kwa kutumia hao Takukuru/usalama badala ya alivyofanya haraka ya kuwaita wakati tayari walishapeana pesa ofisini kwake? au kama muda ulikuwa hautoshi kwanini hakutumia akili za kuahirisha zoezi hilo lisubiri mpaka hapo mtego utakapokuwa imara kama ulivyoshauri hapo juu eg mtu kujificha kwenye kabati or kuweka cctv? Kiluvya anaweza machezo ya Hollywood!
 
Wanabodi
Merry Christmas.
Leo tumeanza sikukuu kwa habari kubwa hii ya mtuhumiwa wa Lukuvi kuachiwa huru. Kesi yenyewe ilikuwa simple, Lukuvi kadai mtuhumiwa ametaka kumhonga
Milioni 90. Lukuvi akazipokea na kumuitia polisi akawakabidhi ushahidi wa fuko la fedha, kesi ilipoanza kuunguruma, mtuhumiwa akasema ni Lukuvi alimkwida akamniga, akamkaba, akampora fuko lake la fedha. Mahakama imemuamini na kumuachia huru. Hivyo hili ni bandiko la swali jee Waziri Lukuvi Atumbuliwe na kushitakiwa kwa ukabaji?.

Mkuu Mwana Mwana, asante kwa taarifa hii. Japo mawakili ni watu wazuri sana katika kutetea haki, lakini pia ni watu wabaya sana katika kuwanasua wahalifu kwa kutumia legal technicalities na legal remedies mbalimbali provided by the law kupindisha ukweli na sometimes hata kununua haki kwa wateja wao.

Huyu jamaa aliitwa kurejesha hati zake wizarani zifanyiwe marekebisho badala ya kwenda na hati jamaa akaenda fuko la fedha.

Mimi naamini jamaa alikwenda na fuko la fedha ofisini kwa Lukuvi na alitaka kumhonga na Lukuvi akazipokea na kuwaita Takukuru wamkamate red-handed. Jamaa akakamatwa.

Jamaa akaweka wakili smart lawyer, Imani Madega, wakili akamshauri kwa vile walikuwa wawili tuu mule ofisini, then wakaamua kutumia tricks ya "your words against mine", jamaa akamgeuzia kibao waziri Lukuvi kuwa alimkaba na kumpora fuko la fedha. Na kwa vile hakuna shuhuda mwingine yoyote, then mahakama ikatoa hukumu kwa kumpa the of doubt kwa mtindo wa "aliyekutwa na ngozi" na kwa kesi hii aliyekutwa na fuko la fedha ni waziri Lukuvi, then mfanyabiashara amesema kweli akashinda!.

Siilaumu mahakama kwa sababu msingi wa haki kwa sheria zetu ni presumption of innocence until proven guilty beyond reasonable doubt, and the one who allege must proove, serikali imeshindwa kuthibitisha kosa, hivyo kwa ushahidi wa mtuhumiwa, waziri Lukuvi ni mkabaji na mporaji. Hivyo Hapa siilaumu mahakama bali naishangaa tuu!.

The common sense logic inaelekeza mtu huwezi kuitwa kuleta hati, ukaitika wito kwa kwenda ofisini kwa aliyekuita bila kwenda na ulichoitiwa na badala yake ukaenda na fuko la fedha, tena ni large amount of cash money kiasi hicho just like that bila kuwa na motives behind.

Haiwezekani mtu mwenye heshima na uadilifu wa kiwango cha waziri Lukuvi umkabe mtu uliyemuita ofisini kwako akuletee hati, na kumpora fuko la fedha halafu mporaji uite polisi kumkamata uliyempora. Japo ameshinda katika hukumu ya kidunia, hukumu ya karma inamsubiri. Kwa wanaomfahamu huyu jamaa kwa karibu mfutuatilieni nini kitamtokea.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! - JamiiForums

Hebu angalieni maelezo ya Lukuvi
Licha ya maelezo yote haya, waziri Lukuvi aligeuziwa kibao kuwa alimkaba mtu na kumpora fuko la fedha.

Ila kwa maelezo haya tuu yalitosha kabisa kwa waziri Lukuvi kuwa ameishatumbuliwa siku nyingi kufuatia kujiuliza maswali haya.
  1. Waziri Lukuvi alimuitia nini Kiluwa ofisini kwake?. Kama issue ni hati kutowekewa masharti, hili ni suala la Msajili, kwani waziri ndie anayetoa hati?.
  2. Kwa vile hati ni legal document, ikikosewa inaitishwa kurejeshwa kwa barua rasmi, kwa nini Kiluwa aitwe kwa simu?.
  3. Kama waziri alitoa maelekezo ya masharti ya kuendeleza ndani ya kipindi cha miaka miwili, kwa nini waziri atoe maelekezo ya jambo kubwa kama hilo kwa mdomo badala ya maandishi?
  4. Kama msaidizi amepewa maelekezo ya mdomo na waziri, lakini msaidizi wake hakuyatekeleza au aliyapuuzia, jee ni kosa kiutendaji?.
  5. Hati ni legal documents hivyo zina maneno yake rasmi kwenye drafting, tangu lini waziri ndiye anaamua maneno gani yawekwe kwenye hati hadi kumuita Kiluwa kurejesha hizo hati?
  6. Kama mtu amepewa hati zilizokosewa, anaitwa kwa simu kuambiwa arejeshe hati au anaandikiwa barua kuzirejesha na asipotii zinafutwa na kuandikiwa nyingine sahihi?.
  7. Kwa Kiluwa kupewa hati ambazo hazikuweka sherti la waziri ni, kosa ni la nani hadi Kiluwa aitwe?.
  8. Jee mpaka sasa aliyefanya kosa hilo amechukuliwa hatua gani?.
  9. Waziri amemtaka Kiluwa kuwasilisha hati zake ili yeye waziri azikague, siku hizi Waziri wa Ardhi ndiye mkaguzi wa hati?.
  10. Na mwisho Waziri amtaje huyo msiri wake aliyempigia simu kumueleza kuhusu kuletewa rushwa ya milioni 90 alijuaje?.
Uamuzi huu utatoa funzo kubwa kwa watendaji wa serikali kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni,

Kufanya kazi kienyeji kumemponza waziri kuwa ni kibaka, amemkaba mtu na kumpora fuko la fedha tena kwenye ofisi za serikali zilizopo Magogoni next to patakatifu petu!
Hii ni kubwa kuliko.

Sasa kama hukumu hii ni ya haki, then rais Magufuli kuonyesha anaiheshimu mahakama, hana budi kutengua uwaziri wa Lukuvi ASAP kwa kuidhalilisha ofisi ya umma kuitumia kufanyia uhalifu wa ukabaji na kumuaibisha rais wa JMT kumteua mhalifu mkabaji ndani ya cabinet yetu!.

Na maadam mtuhumiwa ameiambia mahakama alikabwa, akaporwa fedha zake na waziri Lukuvi, then a amshitaki waziri Lukuvi na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kuhukumiwa kwa kosa la rrobbery.

Kwa siku za hivi karibuni, mahakama zetu zimekuwa zikitoa hukumu za ajabu kwa majangili wenye fedha kwa kuwahukumu kulipa faini, lakini hukumu ya jana kiboko, kumbe waziri Lukuvi jambazi, kabaji?!.

Ila pia pesa ndio kila kitu.
P
Mkuu pasco lukuvi muongo mashariti ya hati yapo kisheria siyo kamishna wala waziri anaamua.
Kwanini lukuvi anamwita kiluwa akiwa peke yake ofisini? Kwanini hakumwita mwekezaji akiwa na watendaji wa wizara kama katibu mkuu na kamishna? Ambao wangekuwa mashaidi??
 
Nilikuepo mahakamani siku hiyo mtuhumiwa akitoa ushahidi plus shahidi wake yule mwenye asili ya Soviet Union.

Unamuita Madega ni smart lawyer?? Hivi ulimuona alivyokua lakini.. Aisee it was boring as hell, hana usmart wowote.....i was surprised.

Maprosecutor wa TAKUKURU ndo hovyoo kabisa walionekana hawajui walichokua wanakifanya at all.

Yani lets be honest...kilichomtoa yule jamaa akawa ni huru ni yule hakimu....

Kiukweli Yupo Smart sana....anajua kutafsri sheria....anangekua hakimu mwingine pale ambaye hajui kitu inaitwa BENEFITS OF THE DOUBT jamaa alikua ananyea debe....
Madega hakuna alichofanya pale cha maana cha kupewa credits.

Credits ziende kwa yule hakimu. Anajua kutafsiri sheria kwa mapana yake ndo mana.

Yani ile case ilikua ni gombania goli yoyote anaweza kupata ila kisheria anayetakiwa kupata ni mtuhumiwa ndo mana akapewa ilo goli.

Inshort PCCB ndo walishindwa ile case pale Madega hakufanya kitu cha muhimu pale PCCb walikua washamess up tayari.
Ndugu yangu afadhali umelisema hili. Eti smart lawyer? Kumbe bomu kabisa.
 
Wanabodi
Merry Christmas.
Leo tumeanza sikukuu kwa habari kubwa hii ya mtuhumiwa wa Lukuvi kuachiwa huru. Kesi yenyewe ilikuwa simple, Lukuvi kadai mtuhumiwa ametaka kumhonga
Milioni 90. Lukuvi akazipokea na kumuitia polisi akawakabidhi ushahidi wa fuko la fedha, kesi ilipoanza kuunguruma, mtuhumiwa akasema ni Lukuvi alimkwida akamniga, akamkaba, akampora fuko lake la fedha. Mahakama imemuamini na kumuachia huru. Hivyo hili ni bandiko la swali jee Waziri Lukuvi Atumbuliwe na kushitakiwa kwa ukabaji?.

Mkuu Mwana Mwana, asante kwa taarifa hii. Japo mawakili ni watu wazuri sana katika kutetea haki, lakini pia ni watu wabaya sana katika kuwanasua wahalifu kwa kutumia legal technicalities na legal remedies mbalimbali provided by the law kupindisha ukweli na sometimes hata kununua haki kwa wateja wao.

Huyu jamaa aliitwa kurejesha hati zake wizarani zifanyiwe marekebisho badala ya kwenda na hati jamaa akaenda fuko la fedha.

Mimi naamini jamaa alikwenda na fuko la fedha ofisini kwa Lukuvi na alitaka kumhonga na Lukuvi akazipokea na kuwaita Takukuru wamkamate red-handed. Jamaa akakamatwa.

Jamaa akaweka wakili smart lawyer, Imani Madega, wakili akamshauri kwa vile walikuwa wawili tuu mule ofisini, then wakaamua kutumia tricks ya "your words against mine", jamaa akamgeuzia kibao waziri Lukuvi kuwa alimkaba na kumpora fuko la fedha. Na kwa vile hakuna shuhuda mwingine yoyote, then mahakama ikatoa hukumu kwa kumpa the of doubt kwa mtindo wa "aliyekutwa na ngozi" na kwa kesi hii aliyekutwa na fuko la fedha ni waziri Lukuvi, then mfanyabiashara amesema kweli akashinda!.

Siilaumu mahakama kwa sababu msingi wa haki kwa sheria zetu ni presumption of innocence until proven guilty beyond reasonable doubt, and the one who allege must proove, serikali imeshindwa kuthibitisha kosa, hivyo kwa ushahidi wa mtuhumiwa, waziri Lukuvi ni mkabaji na mporaji. Hivyo Hapa siilaumu mahakama bali naishangaa tuu!.

The common sense logic inaelekeza mtu huwezi kuitwa kuleta hati, ukaitika wito kwa kwenda ofisini kwa aliyekuita bila kwenda na ulichoitiwa na badala yake ukaenda na fuko la fedha, tena ni large amount of cash money kiasi hicho just like that bila kuwa na motives behind.

Haiwezekani mtu mwenye heshima na uadilifu wa kiwango cha waziri Lukuvi umkabe mtu uliyemuita ofisini kwako akuletee hati, na kumpora fuko la fedha halafu mporaji uite polisi kumkamata uliyempora. Japo ameshinda katika hukumu ya kidunia, hukumu ya karma inamsubiri. Kwa wanaomfahamu huyu jamaa kwa karibu mfutuatilieni nini kitamtokea.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! - JamiiForums

Hebu angalieni maelezo ya Lukuvi
Licha ya maelezo yote haya, waziri Lukuvi aligeuziwa kibao kuwa alimkaba mtu na kumpora fuko la fedha.

Ila kwa maelezo haya tuu yalitosha kabisa kwa waziri Lukuvi kuwa ameishatumbuliwa siku nyingi kufuatia kujiuliza maswali haya.
  1. Waziri Lukuvi alimuitia nini Kiluwa ofisini kwake?. Kama issue ni hati kutowekewa masharti, hili ni suala la Msajili, kwani waziri ndie anayetoa hati?.
  2. Kwa vile hati ni legal document, ikikosewa inaitishwa kurejeshwa kwa barua rasmi, kwa nini Kiluwa aitwe kwa simu?.
  3. Kama waziri alitoa maelekezo ya masharti ya kuendeleza ndani ya kipindi cha miaka miwili, kwa nini waziri atoe maelekezo ya jambo kubwa kama hilo kwa mdomo badala ya maandishi?
  4. Kama msaidizi amepewa maelekezo ya mdomo na waziri, lakini msaidizi wake hakuyatekeleza au aliyapuuzia, jee ni kosa kiutendaji?.
  5. Hati ni legal documents hivyo zina maneno yake rasmi kwenye drafting, tangu lini waziri ndiye anaamua maneno gani yawekwe kwenye hati hadi kumuita Kiluwa kurejesha hizo hati?
  6. Kama mtu amepewa hati zilizokosewa, anaitwa kwa simu kuambiwa arejeshe hati au anaandikiwa barua kuzirejesha na asipotii zinafutwa na kuandikiwa nyingine sahihi?.
  7. Kwa Kiluwa kupewa hati ambazo hazikuweka sherti la waziri ni, kosa ni la nani hadi Kiluwa aitwe?.
  8. Jee mpaka sasa aliyefanya kosa hilo amechukuliwa hatua gani?.
  9. Waziri amemtaka Kiluwa kuwasilisha hati zake ili yeye waziri azikague, siku hizi Waziri wa Ardhi ndiye mkaguzi wa hati?.
  10. Na mwisho Waziri amtaje huyo msiri wake aliyempigia simu kumueleza kuhusu kuletewa rushwa ya milioni 90 alijuaje?.
Uamuzi huu utatoa funzo kubwa kwa watendaji wa serikali kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni,

Kufanya kazi kienyeji kumemponza waziri kuwa ni kibaka, amemkaba mtu na kumpora fuko la fedha tena kwenye ofisi za serikali zilizopo Magogoni next to patakatifu petu!
Hii ni kubwa kuliko.

Sasa kama hukumu hii ni ya haki, then rais Magufuli kuonyesha anaiheshimu mahakama, hana budi kutengua uwaziri wa Lukuvi ASAP kwa kuidhalilisha ofisi ya umma kuitumia kufanyia uhalifu wa ukabaji na kumuaibisha rais wa JMT kumteua mhalifu mkabaji ndani ya cabinet yetu!.

Na maadam mtuhumiwa ameiambia mahakama alikabwa, akaporwa fedha zake na waziri Lukuvi, then a amshitaki waziri Lukuvi na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kuhukumiwa kwa kosa la rrobbery.

Kwa siku za hivi karibuni, mahakama zetu zimekuwa zikitoa hukumu za ajabu kwa majangili wenye fedha kwa kuwahukumu kulipa faini, lakini hukumu ya jana kiboko, kumbe waziri Lukuvi jambazi, kabaji?!.

Ila pia pesa ndio kila kitu.
P
Mayalla p, akiogopacho mtu asiye haki ndicho kinachomjia. Lukuvi ana uovu ndiyo maana uovu huu umemjia. Kama Chuma hunolewa kwa chuma basi na uovu hufichuliwa kwa uovu. Mwacheni Mungu afanye kazi yake.
 
Kama Lukuvi kila mara akiona fuko la hela akili yake inamtuma harakaharaka kwamba watu wanataka kumhonga basi atakuwa ni mla rushwa aliyekubuhu, kwanini ahisie vitu ambavyo havipo?

Watu wasitembee na hela zao kwani shida nini?
Ilikuwa rahisi sana ikiwa waziri alijua kuwa anahongwa angerekodi tu kwenye sumu yake maneno ya mhongaji yaje kutumika kama ushahidi.au kama alijua kuwa kuna mtu anakuja na pesa kwa ajili hiyo angewaandaa hao takukuru au polisi. wewe mtu aje akupe hela ndipo uite polisi haalafu usme ni rushwa
 
Hayo ni mawazo yako Mayalla, mie ya kwangu ni kuwa tayari kulikuwa na makubaliano ya kupata chochote kati ya Lukuvi na Mohamed. Mohamed kaja na cash ofisini kwa nia ya kumpatia Lukuvi anacho hitaji (kama kawaida yake) lakini alipo kuja pengine Lukuvi kutokana na hali ya kuto aminiana au kuamua kutafuta kiki ya kuhifadhi cheo chake akaamua kumtoa kafara Mohamed.
Game lilipo geuka, Mohamed naye ni wa mjini hivyo wa mjini wenzie wanaojua kuwa Lukuvi kamtoa tuu kafara lakini hizo ndio zake wakamwambia naye ageuze kibao.
The end justified the means. Hukumu ndio hiyo sisi mabush lawyer tunasema Waziri Lukuvi alimkaba Mohamed ofisini kwake kumpora $40,000 na alipozidiwa nguvu na Mohamed katika kujitetea akaita wasaidizi wake kuficha fedheha.
Unaonaje mawazo yangu?
Lolote lawezekana. Sidhani kama Mohamed angeweza tu kubeba kitita na moja kwa maoja amkabidhi kama rushwa bila mazungumzo yoyote au bila taarifa za awali. Mtu ni waziri na ofisi ni ya serikali na hujui A wala Be kuhusiana na huyo mtu utabebaje tu kitita kama hicho na kumpelekea mtu. atakuwa ni kichaa kama hana akili nzuri kujaribu kumhonga waziri!
 
Hii ndio shida ya kuwa mechanical na kutumia nguvu kwenye kila jambo. Waziri alishindwa nini kuweka ushahidi wa kisayansi? Alishindwa hata kutumia simu yake kurekodi mazungumzo?
Huo wa kisayansi Takukuru waliuondoa katika orodha ya ushahidi kuanzia siku Mnyeti alipoanzisha biashara mpya ya kununua madiwani na wabunge wa upinzani!
 
Wanabodi
Merry Christmas.
Leo tumeanza sikukuu kwa habari kubwa hii ya mtuhumiwa wa Lukuvi kuachiwa huru. Kesi yenyewe ilikuwa simple, Lukuvi kadai mtuhumiwa ametaka kumhonga
Milioni 90. Lukuvi akazipokea na kumuitia polisi akawakabidhi ushahidi wa fuko la fedha, kesi ilipoanza kuunguruma, mtuhumiwa akasema ni Lukuvi alimkwida akamniga, akamkaba, akampora fuko lake la fedha. Mahakama imemuamini na kumuachia huru. Hivyo hili ni bandiko la swali jee Waziri Lukuvi Atumbuliwe na kushitakiwa kwa ukabaji?.

Mkuu Mwana Mwana, asante kwa taarifa hii. Japo mawakili ni watu wazuri sana katika kutetea haki, lakini pia ni watu wabaya sana katika kuwanasua wahalifu kwa kutumia legal technicalities na legal remedies mbalimbali provided by the law kupindisha ukweli na sometimes hata kununua haki kwa wateja wao.

Huyu jamaa aliitwa kurejesha hati zake wizarani zifanyiwe marekebisho badala ya kwenda na hati jamaa akaenda fuko la fedha.

Mimi naamini jamaa alikwenda na fuko la fedha ofisini kwa Lukuvi na alitaka kumhonga na Lukuvi akazipokea na kuwaita Takukuru wamkamate red-handed. Jamaa akakamatwa.

Jamaa akaweka wakili smart lawyer, Imani Madega, wakili akamshauri kwa vile walikuwa wawili tuu mule ofisini, then wakaamua kutumia tricks ya "your words against mine", jamaa akamgeuzia kibao waziri Lukuvi kuwa alimkaba na kumpora fuko la fedha. Na kwa vile hakuna shuhuda mwingine yoyote, then mahakama ikatoa hukumu kwa kumpa the of doubt kwa mtindo wa "aliyekutwa na ngozi" na kwa kesi hii aliyekutwa na fuko la fedha ni waziri Lukuvi, then mfanyabiashara amesema kweli akashinda!.

Siilaumu mahakama kwa sababu msingi wa haki kwa sheria zetu ni presumption of innocence until proven guilty beyond reasonable doubt, and the one who allege must proove, serikali imeshindwa kuthibitisha kosa, hivyo kwa ushahidi wa mtuhumiwa, waziri Lukuvi ni mkabaji na mporaji. Hivyo Hapa siilaumu mahakama bali naishangaa tuu!.

The common sense logic inaelekeza mtu huwezi kuitwa kuleta hati, ukaitika wito kwa kwenda ofisini kwa aliyekuita bila kwenda na ulichoitiwa na badala yake ukaenda na fuko la fedha, tena ni large amount of cash money kiasi hicho just like that bila kuwa na motives behind.

Haiwezekani mtu mwenye heshima na uadilifu wa kiwango cha waziri Lukuvi umkabe mtu uliyemuita ofisini kwako akuletee hati, na kumpora fuko la fedha halafu mporaji uite polisi kumkamata uliyempora. Japo ameshinda katika hukumu ya kidunia, hukumu ya karma inamsubiri. Kwa wanaomfahamu huyu jamaa kwa karibu mfutuatilieni nini kitamtokea.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! - JamiiForums

Hebu angalieni maelezo ya Lukuvi
Licha ya maelezo yote haya, waziri Lukuvi aligeuziwa kibao kuwa alimkaba mtu na kumpora fuko la fedha.

Ila kwa maelezo haya tuu yalitosha kabisa kwa waziri Lukuvi kuwa ameishatumbuliwa siku nyingi kufuatia kujiuliza maswali haya.
  1. Waziri Lukuvi alimuitia nini Kiluwa ofisini kwake?. Kama issue ni hati kutowekewa masharti, hili ni suala la Msajili, kwani waziri ndie anayetoa hati?.
  2. Kwa vile hati ni legal document, ikikosewa inaitishwa kurejeshwa kwa barua rasmi, kwa nini Kiluwa aitwe kwa simu?.
  3. Kama waziri alitoa maelekezo ya masharti ya kuendeleza ndani ya kipindi cha miaka miwili, kwa nini waziri atoe maelekezo ya jambo kubwa kama hilo kwa mdomo badala ya maandishi?
  4. Kama msaidizi amepewa maelekezo ya mdomo na waziri, lakini msaidizi wake hakuyatekeleza au aliyapuuzia, jee ni kosa kiutendaji?.
  5. Hati ni legal documents hivyo zina maneno yake rasmi kwenye drafting, tangu lini waziri ndiye anaamua maneno gani yawekwe kwenye hati hadi kumuita Kiluwa kurejesha hizo hati?
  6. Kama mtu amepewa hati zilizokosewa, anaitwa kwa simu kuambiwa arejeshe hati au anaandikiwa barua kuzirejesha na asipotii zinafutwa na kuandikiwa nyingine sahihi?.
  7. Kwa Kiluwa kupewa hati ambazo hazikuweka sherti la waziri ni, kosa ni la nani hadi Kiluwa aitwe?.
  8. Jee mpaka sasa aliyefanya kosa hilo amechukuliwa hatua gani?.
  9. Waziri amemtaka Kiluwa kuwasilisha hati zake ili yeye waziri azikague, siku hizi Waziri wa Ardhi ndiye mkaguzi wa hati?.
  10. Na mwisho Waziri amtaje huyo msiri wake aliyempigia simu kumueleza kuhusu kuletewa rushwa ya milioni 90 alijuaje?.
Uamuzi huu utatoa funzo kubwa kwa watendaji wa serikali kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni,

Kufanya kazi kienyeji kumemponza waziri kuwa ni kibaka, amemkaba mtu na kumpora fuko la fedha tena kwenye ofisi za serikali zilizopo Magogoni next to patakatifu petu!
Hii ni kubwa kuliko.

Sasa kama hukumu hii ni ya haki, then rais Magufuli kuonyesha anaiheshimu mahakama, hana budi kutengua uwaziri wa Lukuvi ASAP kwa kuidhalilisha ofisi ya umma kuitumia kufanyia uhalifu wa ukabaji na kumuaibisha rais wa JMT kumteua mhalifu mkabaji ndani ya cabinet yetu!.

Na maadam mtuhumiwa ameiambia mahakama alikabwa, akaporwa fedha zake na waziri Lukuvi, then a amshitaki waziri Lukuvi na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kuhukumiwa kwa kosa la rrobbery.

Kwa siku za hivi karibuni, mahakama zetu zimekuwa zikitoa hukumu za ajabu kwa majangili wenye fedha kwa kuwahukumu kulipa faini, lakini hukumu ya jana kiboko, kumbe waziri Lukuvi jambazi, kabaji?!.

Ila pia pesa ndio kila kitu.
P
Kwani serikali haina fursa ya kukata rufaa? Kwa kuwa hatuna mwenendo wa kesi (proceedings) na hatujui uzito wa ushahidi wote tusiseme tusiyoyajua. Waziri ana wasaidizi na ofisi yake ina walinzi hivyo waziri kumpora mtu fedha siyo rahisi bila purukushani. Hiyo hukumu ni kuwa hakimu hakuamini alichosikia hivyo akabaki na mashaka. Na mashaka huwa yanampa faida mshitakiwa.
 
MAGUFULI hutumbua watu kwa hisia binafsi wala haongozwe na uadilifu kwakuwa yeye sio muadilifu tangu akiwa waziri. rejea kuwauzia nyumba hawara zake.
lukuvi ni jambazi kama majambazi wegine tu hapo ccm, aliupata uwazir kwa kumshika MAGUFULI mkono siku anatangazwa pale dodoma. ana maheka kwa maheka ya ardhi huko kwao
 
Back
Top Bottom