Magufuli ndiye waandishi wabongo wanapaswa kumwita kiboko! Perfomance yake inaonekana na ilijidhihirisha akiwa ujenzi,waziri aliyekuwa na data zote za barabara,fedha za kuzijenga,etc. ilifikia tz tukawa model kwa nchi nyingine kuja kuiga mafanikio ya design and build.Tatizo kulikuwa na uvunjaji wa sheria sana watu tuka normalize disorders hivyo magufuli kuleta order ilibidi ije bomoa bomoa,magari ya serikali yaheshimiwe,uzito wa magari usiharibu barabara,etc.Yote haya yaligusa masilahi ya vigogo na ndo hizo propaganda za kumchafua!Nyumba aliuza kwa kuwa ilikuwa sera ya cabinet yote including jk na pia shinikizo la wb. yeye akawa mtekelezaji,lakini pia aliweza kujenga nyuma zingine huko dom na dar,which makes sense.
Rationale ya kunyang'anya watu viwanja ndo tunapaswa kuijua na ni vizuri mwanakijiji amtafute tujue.Kama sikosei nia yake ni kupunguza rushwa maana maafisa ardhi wamehodhi viwanja kibao pasipo nia ya kujenga but just to raise the demand na kuviuza baadae kwa bei kubwa tena mara mbili mbili.
Huyo el ana perfomance background yoyote ya kujivunia kuliko magufuli? Mbona el dikteta mzuri sana kwa control media na wabunge,leave alone kuwa ni corrupt? Magufuli would fit as a pm kuleta discipline na high perfomance maana wabongo tuko wazembe na watu wa maneno mengi pasipo vitendo,bla blah....
Hebu tuone vision ya magufuli kuunganisha tz kwa lami 2007 na daraja la kigamboni kama itakuwa reality!
Long live Pombe wa Magufuli!