PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Desemba, 2025.

Mazungumzo yalijikita kujadili masuala ya ushirikiano na uwili baina ya Tanzania na Marekani.
IMG-20251207-WA0010.jpg
IMG-20251207-WA0012.jpg
 
Hao mabalozi ni kama TEC tu, mnakutana mnaongea na picha za tabasamu ila ukiwapa kisogo wanaachia waraka unakula spana!

Tena bora huyu Andrew, kalikuwepo kamama kanaitwa Imni Patterson kuna watu wangeshakula travel ban kitambo tu.
 
Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Desemba, 2025.

Mazungumzo yalijikita kujadili masuala ya ushirikiano na uwili baina ya Tanzania na Marekani.View attachment 3512519View attachment 3512520
siwapendi wamarekani kwani ni mabeberu. Ila kwa hili waibane serikali ya samia kuitisha upya uchaguzi huru kuanzia ndani ya vyama. Kama mwanaccm nilihuzunika sana kuona mama alivyobananga demokrasia ndani ya chama chetu akijua wanaccm walio wengi hawamtaki kama mgombea urais. Ili kupita bila mpinzani akawabana upinzani pia wasiweze kuweka mgombea imara. wote waliyogombea upinzani ni vibaraka waliyopangwa na samia.
 
Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Desemba, 2025.

Mazungumzo yalijikita kujadili masuala ya ushirikiano na uwili baina ya Tanzania na Marekani.View attachment 3512519View attachment 3512520
Kombo hana uwezo wa kujenga hoja kuitetea tanzania. Hafanyi kazi kama waziri wa mambo ya nje anafanyakazi kama mesenja wa viongozi wa tanzania kwa viongozi wa nje. Anakuwa waziri wa mambo ya nje ambaye anashindwa kuwashawishi hata waandishi wa habari wa nje kujenga hoja ya mambo yaliyotokea nchini kwake! Kwa hali ilivyo sasa tanzania, alitakiwa yeye ndo anatafutwa na washirika wetu wa maendeleo kutoa ufafanuzi wa kinachoendelea na suluhisho lake. Matokeo yake yeye anazungukazunguka tu kujaribu hiki na kile. Washirika hawana hata time naye kwa sababu ya kukosa ushawishi. Hata aliye mteua hamsikilizi, yeye anasema hivi huko nje kiongozi wake kwenye hotuba anasema vingine!
 
Shida ya wazungu ni moja, hata ukifanya kosa, mtakutana, mtaongea, mtacheka, mtapiga picha, atakukarimu vizuri kabisa, lakini misimamo yao hufuata taratibu zilizowekwa
Huwa wanarudi kwenye mstari uleule utapitia, hawana nongwa
Mwenyewe nna kesi nao furushi hapa km Tundu Lissu,
na nnapigana nao spana mpaka kunakucha
 
Ngoja tuone...
Kwa nini wasingemteka huyo Kaimu Balozi wa Marekani, kaijleta mwenyewe hapo...

Cc: Mahondaw
 
Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Desemba, 2025.

Mazungumzo yalijikita kujadili masuala ya ushirikiano na uwili baina ya Tanzania na Marekani.View attachment 3512519View attachment 3512520
Lema atakuja kutupia muda si mrefu bado ansubiria audio toka kwa Malisa ili aje atupie humu.Jamani element watoto wenu shule.Mtu mzima ansubiri kuandikiwa ndio arushie kwa mitandao?
Who are you....

Pls trump shusha dude Kwa samuyaaaaa
Mtasubiria saaana walking,Mama yupo ana ataendelea kuwepo saana tu
 
Shida ya wazungu ni moja, hata ukifanya kosa, mtakutana, mtaongea, mtacheka, mtapiga picha, atakukarimu vizuri kabisa, lakini misimamo yao hufuata taratibu zilizowekwa
Subiri wapewe deal moja tu ambao itakuwa wametulalia ndio utajua kuwa wako kimasalai zaidi
 
Kwa Nini mufanye hivyo ?
Ndio mutakuwa mume solve Tatizo ?

Hamna maarifa sahihi ya kuongoza Nchi
 
Who are they? Mnawaita kikao ofisini tena J2....? Strange......
 
Back
Top Bottom