Waziri kivuli CHADEMA aachia ngazi

Letcia , anadhani ile nafasi ni yafamilia ya nyumbani kwake ! ile post ni ya umma, anapojiuzulu ni vyema akawajuza wananchi, iwe kwa maslahi ya chama, taifa au ya kwake binafsi.
19144_100229920007453_100000613353513_3411_1109588_n.jpg

Kumbe moto! Hongera sana Leticia Madaraka alikuwa selective
 
Hiyo nafasi ni ngumu nadhani ameona hawezi kuimudu.
Ni afadhali huyu mwenye maamuzi haya kuliko mawaziri mzigo kibao tulionao kwenye serikali ya CCM ambao pamoja na uwezo wao mdogo katika post zao hawawezi kujiondoa na kuachia wengine waendeleze game. Angalia wakina makinda na yule waziri wa katiba na sheria. Si nao wangejiondoa tu?
Ndio sababu naipenda chadema.
 
Waziri ni kivuli kajiuzulu ndani ya serkali kivuli!!! ni hasa tofauti baina ya uanasiasa na uanaharakati??? kila anayehamia na kutoka anapokelewa ktk hili dovutwa anaandaa kujiuzulu kwenye chama chake je atapokelewa cdm??? Let be serious, give the post to personal who committed to pracise their carrier not otherwise!! who is leticia ???? is that Nyerere or nickname????
TAKE NOTE!!
Mammluki hawana itikadi!!!!:iamwithstupid:
 
Hii sasa imekua kasumba ya kitaifa,kila mtu anapenda tu kutumia kiingereza hata kama hakimudu kuwasilisha ujumbe basic kabisa. Unaonekana kabisa sio mhindi,si mkongo si mkenya,si mchina na wala si mzungu. Ni wazi kuwa wewe ni mswahili mzuri tuu!(tena wa hulka kabisa). Kwani ukitumia kiswahili si bado utaheshimika tuu,tena utaitwa mzalendo....shida yote nini bana!!!
Waziri ni kivuli kajiuzulu ndani ya serkali kivuli!!! ni hasa tofauti baina ya uanasiasa na uanaharakati??? kila anayehamia na kutoka anapokelewa ktk hili dovutwa anaandaa kujiuzulu kwenye chama chake je atapokelewa cdm??? Let be serious, give the post to personal who committed to pracise their carrier not otherwise!! who is leticia ???? is that Nyerere or nickname????
TAKE NOTE!!

Mammluki hawana itikadi!!!!:iamwithstupid:
 
Leticia, nimefurahishwa mno na hili, unawapa wengine wapate uzoefu. Kuna watu hapa wenye itikadi tofauti wanaongea utumbo, eti CDM magwanda, kwani CCM si magamba ambayo wameshindwa kubandua.
Muda wa kusubiria njozi ati jambo laweza kutokea bila initiation nafurahi umegundua ni jambo lisilowezekana. Umepima urefu na kasi ya maji ya mto unaotiririka ukajistukia uwezo wako wa kupiga mbizi.
MY RESPEC2 and affection Lety.
 
Sababu anataka kuwaachia na wengine wapate uzoefu, na hio ndo demokrasia.ukiona ngoma haieleweki achia ngazi...usiwe kama nanii!

Lazima iwepo sababu nyingine! Kwani yeye kapata uzoefu gani toka aingie bungeni na kuteuliwa kuwa waziri kivuli? Hili si suala la "damocrasi" kama anavyosema mwenyewe! anayejua atwambie!
 
Keep away from people who try to belittle your ambitions. Small people always do that, but the really great ones make you feel that you too, can become great.

The harder you work, the harder it is to surrender.
 
Definetely huyu kaona viatu alivyo vivaa sio saizi yako. If you can't sustain the heat
it is better to quit the kitchen. Ameshindwa huyu kutengeneza budget mbadala ya
wizara yake.

Tofauti na JK Leticia ameona udhaifu wake na kuu-accept. JK naye tunaomba aige
mfano wa Leticia, hiyo ndiyo democracy

Nakubaliana na wewe kwa 100% kashindwa kazi alifikiri uwaziri ni lele mama.
 
Tatizo la watanzania wengi ni kuwa bado hatujaelewa vizuri maana ya kujiuzulu. Ni kuamua kuachia nafasi uliyonayo kwa sababu yo yote ikiwepo sababu nzuri - positive. Si lazima iwe negative always. Inaweza kuwa anataka kufanya mambo mengine ya Chadema na akaona apunguze majukumu ya uwaziri kivuli. Tusilazimishe kutatafuta tatizo ambalo hatujaelezwa.
ILa kwa vijana wa Nape ruksa kuzusha mambo.

Why speculate?
Toeni sababu zenye mshiko.
Kwanini asijiuzulu ubunge ili watanzania wengine wapate uzoefu?
Najua mtaanza matusi tu kama itikadi yenu invyo waruhusu/waagiza.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100% kashindwa kazi alifikiri uwaziri ni lele mama.

Well said sister.... Leticia amegundua kwamba modern siasa ni technical and advanced na si kwenda kwenye vikao.... Nampongeza Leticia, na nawapongeza CDM.... Hebu imagine yule bulicheka Mkulo na zile kamba bado hajajiuzulu

sasa subiri ya Ngeleja ndio ujue kwanini anasinzia vikaoni
 
mbona huu ndo utamaduni tunaotakiwa kuwa nao! ukipew madaraka ya kuteuliwa kama ukishindwa kufikia malengo ya aliyekuteua unarudisha madraka yale kwa mwenyewe amteuwe mwingine.

Tatizo la magamba utamaduni huu haupo, maana cheo ni ulaji na siyo utumishi!
kama magamba wangekuwa honest nadhani hata jk angeshaachia ngazi, mawziri ndo usiseme kabisa.

Hivi waziri kam ngereja na malima wanasubiri nini kuachia ngazi?

Mkulo je?
Yule mama wa katiba anasubiri nini?

Mimi nampongeza hyuy mama amekuwa honest kama ni kweli ameshindwa ila pia kama ameachia kwa sababu zake binafsi nayo ni kitu kizuri maana huwezi kufanya kitu ambacho siyo interest yako.
 
Tatizo la watanzania wengi ni kuwa bado hatujaelewa vizuri maana ya kujiuzulu. Ni kuamua kuachia nafasi uliyonayo kwa sababu yo yote ikiwepo sababu nzuri - positive. Si lazima iwe negative always. Inaweza kuwa anataka kufanya mambo mengine ya Chadema na akaona apunguze majukumu ya uwaziri kivuli. Tusilazimishe kutatafuta tatizo ambalo hatujaelezwa.
ILa kwa vijana wa Nape ruksa kuzusha mambo.

Asante kwa kuwa msemaji wake
 
Ndugu zangu naomba mnijuze kidogo kwenye mambo ya sheria mimi sio mjuzi zinanipiga chenga, hivi Dk Sla ni Rais kivuli wa Tanzania?

Kweli wewe ni borgous wa sheria katika maana halisi!!!!
Ulipata kusikia wapi kuna Rais kivuli?????????
 
au mambo ya ngono nini jamani? isije ikawa yale ya chiku abwao na mrema, mrema alivyotaka kumfukuza chama kwa kuwa eti alikuwa anawapa ccm badala ya nccr. alikuwa anawapa nini sijui, labda ujuzi wa siasa
 
Back
Top Bottom