wewe maana yake!! angalia anga za watu hizoShe is cute!
wewe maana yake!! angalia anga za watu hizoShe is cute!
Letcia , anadhani ile nafasi ni yafamilia ya nyumbani kwake ! ile post ni ya umma, anapojiuzulu ni vyema akawajuza wananchi, iwe kwa maslahi ya chama, taifa au ya kwake binafsi.
![]()
Waziri KIVULI... kweli nyie CDM ni makatuni kweli..[/QUOTE]
Nini cha ajabu hapo? Au unadhani neno "waziri kivuli" ni la CDM?
ukoo upi?kuna ukoo wa hovyo na uliotutia umasikini kama huu..hebu usinitie kichefuchefu mieAmeishaona mambo ndivyo sivyo ndani CDM a.k.a. MAGWANDA, sasa hapo kwa nn asijiuzulu ili kulinda heshima yake na ya ukoo wake
HE HUYU WA MAGAMBA HUYU SIO WA KWETU JAMANI SI UNAONA ANAVYOFANANA NA MTOTO WA BABU
wa magamba huyu
Nadhani hapo wana JF wamekuelewa, kinachotusibu isijekuwa kahujumiwa katika utendajikazi wake huo na kama ni hivyo basi tunaomba mtujuze kulikoni.Tatizo la watanzania wengi ni kuwa bado hatujaelewa vizuri maana ya kujiuzulu. Ni kuamua kuachia nafasi uliyonayo kwa sababu yo yote ikiwepo sababu nzuri - positive. Si lazima iwe negative always. Inaweza kuwa anataka kufanya mambo mengine ya Chadema na akaona apunguze majukumu ya uwaziri kivuli. Tusilazimishe kutatafuta tatizo ambalo hatujaelezwa.
ILa kwa vijana wa Nape ruksa kuzusha mambo.
Ameishaona mambo ndivyo sivyo ndani CDM a.k.a. MAGWANDA, sasa hapo kwa nn asijiuzulu ili kulinda heshima yake na ya ukoo wake
Pia na mimi nina swali hivi CDM ni chama tawala kivuli cha Tanzania?Ndugu zangu naomba mnijuze kidogo kwenye mambo ya sheria mimi sio mjuzi zinanipiga chenga, hivi Dk Sla ni Rais kivuli wa Tanzania?