JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,089
- 14,969
Viwanda kama Tesla, BMW, au General Motors, vyenye production plants, gari inasukwa kuanzia mlango, rangi, maroboti yanaweka mirango, engine nk?Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13
Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha
View attachment 2995903
Au, alimaanisha assembling plants, au magodown, yakuhifsdhia magari ambsyo l, yanakuja yamekamirika nusu, hapa tunaweka betri nk!
Yaani, mjapan aingize cruza hapa bongo, vipande vipande, ili ije iungiwe hapa? Anapata faida gani? Wao gari z inatengenezwa na robots, tuone hata picha za viwanda vya magari bongo! Au brand gani