Waziri Katambi akemea tabia ya kila mtu kuwa Msemaji, asema hali hiyo inachangia mpasuko wa Taifa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975

Your browser is not able to display this video.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini.

Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari kilichofanyika jijini Dodoma.

“Kila Taasisi ina msemaji wake,hata katika familia kuna msemaji sasa inakuaje hapa nchini kila mtu akijisikia kusema anaongea tu," alisema Waziri Katambi.
 
Hahaha
Makonda kesha mjaza mama kwenye mfumo kama jpm
Niteuwe mm makonda Ili nikukinge na wabaya wako au niache Ili ufe kama magufuli
Hahaha
 
Hivi ule wimbo wa kuwa taifa lipo salama kwa kazi muzuri ya polisi imekuwa tena marakuwa sii salama upo mpasuko?
 
Huyu ni wazir wa mambo ya ndani au wa habari?
Huyu ni mdhiniti wa maudhui?
Anajua namna watu wanavyoporwa haki zao pale central huyu
Kinyesi tu, anajua kutamba tu, "mimi ni mwanasheria" domo limevimba kama ameumwa na nyuki. Ni wale wale ubabe wa kijinga tu, matumizi ya nguvu ni makubwa kuliko akili.
 
We Kitambi acha njaa na ujinga - wewe bado ni kijana mdogo sana unashiriki dhambi, mauaji, damu, vilio na uchafu wote huo why? Utalaanika wewe na kizazi chako chote, unafikiri maandiko ya Biblia ni history ya kutengeneza eee.

Achana na huyo Mwamedi wao alikuwa mwanadamu kama wewe, Kristo no ROHO... yaani mtalaanika wote mnaoshirikiana kubaka HAKI za watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…