Waziri Kaghasheki atwangana ngumi na Katibu wa CCM Bukoba

Bw.Ukoko

Member
Jun 26, 2009
26
0
Wakuu,Nimepokea taarifa muda mfupi kutoka Bukoba kuwa kumetokea ugomvi katika kikao cha kamati ya siasa ya wilaya ya Bukoba cha CCM ambapo kagasheki ambaye ni mbunge wa huko na naibu waziri wa mambio ya ndani amevaana live na katibu wa CCM wa wilaya hiyo aitwaye Shamte.

Sababu ya viongozi hao kukunjana mashati ni baada ya shamte kudai katika kikao hichjo kuwa kasgasheki anaendesha mambo yake ya kisiasa bila kukuhusisha chma badala yake anawatumia wapambe wake wa mitaani hali aliyodai kuwa inasababisha chama kushindwa kutekeleza ipasavyo ilani yake

kwa mjibu wa m,toa taarifa ambaye ni mmoja wa walioudhuria kikao ni kuwa shamte aliendelea kueleza kuwa yote anayoyafanya kaasgasheki anafanya kwa lengo la kujikweza kwa wapiga kura badala ya kusaidia chma

aliomba abadilike mara moja,

hata hivyo mheshimiwa huyo alinyanyuka kwenye kiti chake na kumkunja shamte huku akimtolea maneno makali kwamba amekuwa akimpigia simu na kumuomba fedha na kwa kuwa alimyima ndiyo maana anasema hayo.

aliomba kiongozi huyo ahamishwe mara moja vinginevyo atagombea ubunge katika jimbo hilo tena.

ugomvi huo ulisuruhishwa lakini taarifa nilizopata hivi punde ni kuwa shamte amefutwa kazi
 
Hili nitishio ama?

Mkuu nadhani ni kiswahili kilichokabwa shingo na lugha za mama zetu! Nadhani alimaanisha kuwa "HATAGOMBEA"!! Kama ni kweli ni hatari sana. Kwamba kuna watu wakigombea inakuwa ni ahueni kwa chama. Ikiwa mambo ni hayo basi kiama hakipo mbali!
 
hao ndio CCM.....WENGINE WAMESINGIZIWA.....KANSA INAWASUMBUA DAWA YAO NIMIONZI TU. AU TUWAKATE VIUNGO
 
ugomvi huo ulisuruhishwa lakini taarifa nilizopata hivi punde ni kuwa shamte amefutwa kazi

Mbona hayo maamuz yamekuwa ya haraka namna hiyo?

Au ndo jeuri ya chama hiyo!

Kumbe kuna watu ambao ukiwagusa tu...umefulia!
 
Hivi huyo katibu hana mkataba wa kazi mpaka afukuzwe kwa kumwambia mtu ukweli? Kwanza inashangaza waziri mwenye dhamana ya kulinda raia ndiye anayepiga raia. Kiwete amnyang'anye uwaziri kwa sababu ametumia madaraka yake vibaya. Hivi asipogombea CCM itapungukiwa na nini? Chama hiki kama kina mambo ya kipuuzi.
 
habari njema kweli hizi

Naamini mwenyekiti wa CHAMA alitumia busara kuteua wanamasumbwi (hekima iliyopo katika NAKOS) kuwa mawaziri.

Poleni CCM kwa kuzidi kujiumbua wakati wa hatari
 
Steven Wassira beware,

Unaweza kunyang'anywa jina la Tyson hivihivi!
 
Steven Wassira beware,

Unaweza kunyang'anywa jina la Tyson hivihivi!

Huyu Kagasheki (hivi kwanza jina hili lina tafsiri gani kwa mnaojua?) ameshawahi kumpiga vibao askari wa usalama barabarani pale makutano ya Sayansi Dar, kisa? aliambia gari lake linavuruga utaratibu kwa kupita pembeni....
 
Hivi huyo katibu hana mkataba wa kazi mpaka afukuzwe kwa kumwambia mtu ukweli? Kwanza inashangaza waziri mwenye dhamana ya kulinda raia ndiye anayepiga raia. Kiwete amnyang'anye uwaziri kwa sababu ametumia madaraka yake vibaya. Hivi asipogombea CCM itapungukiwa na nini? Chama hiki kama kina mambo ya kipuuzi.
mkataba utoke wapi wakati kuipata hio kazi lazima humjue fulani hili upate.sasa matokeo yake ukiwaudhi wenyewe ndio unafukuzwa kama mbwa. hakuna haki watu wanatumia ubabe kwenye kila kitu na ukitaka ubaya wewe sema ukweli tu sana sana kwenye mambo ya siasa.wewe kama spika anaweza kuweka kiti moto kwa kufanya kazi yake kwa manufaa ya nchi itakuwa huyo jamaa?
 
Hivi huyo katibu hana mkataba wa kazi mpaka afukuzwe kwa kumwambia mtu ukweli? Kwanza inashangaza waziri mwenye dhamana ya kulinda raia ndiye anayepiga raia. Kiwete amnyang'anye uwaziri kwa sababu ametumia madaraka yake vibaya. Hivi asipogombea CCM itapungukiwa na nini? Chama hiki kama kina mambo ya kipuuzi.

Huyu nae ni mmoja wa wanamtandao au? Kama ndiyo hawa wana jeuri bana. Walijua wanapewa nafasi kabla hata ya kutangazwa sasa unategemea nini kutoka kwao, au utashangaa vipi kiburi yao!
 
Huyu Kagasheki (hivi kwanza jina hili lina tafsiri gani kwa mnaojua?) ameshawahi kumpiga vibao askari wa usalama barabarani pale makutano ya Sayansi Dar, kisa? aliambia gari lake linavuruga utaratibu kwa kupita pembeni....

Yaani kampiga askari ambaye alikuwa kazini?, Na huko bkb naye katembeza mikono tena je kiburi anatoa wapi?
 
Nani anamweka madarakani katibu wa wilaya ya CCM? nani amemfuta kazi huyu ghafla namna hiyo?

Nimeongea na Shamte mwenyewe,amedhibitishakutoka kwa tukio hilo,ingawa anasema kuwa chanzo cha vurumai hilo ni masula ya kisiasa hasa joto la kuelekea uchaguzi wa mitaa,

Lakini hakufukuzwa,bali alisimamishwa na Makamba lakini juzi ijumaa alipata barua ya kumhamishia Mkoani Mara.
 
Tutaona mengi sana katika uchaguzi ujao Mwakani na pia hiyo inawafanya wale watawala wetu wawe kama miungu watu
 
Back
Top Bottom