#COVID19 Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

Huyu Mama kama yupo upande unaouamini, atakupa furaha sana...

Na kama yupo upande usiouamini, atakukera sana!!!
 
Huyu waziri wetu wa afya huyu

Hahaha nimeishia tu kumpenda aisee.

She is special.

Yaani huyo mama hana tofauti na bi kidude, anaongea ongea tu. Kujimwambafai kwiingi, oooh Iramba sijui nini, kwa kweli huyo mama na Mwigulu huwa siwaelewi kabisa ni vituko tumeletewa serikalini
 
Hahaha!.

Huyu mama anafikisha ujumbe huku anachamba.
Hicho ndio kimenifanya nimchukie siku zote nilimpenda ila kuchamba kwa hadhi yake hastahili yaani kwa maneno Yale alitakiwa avae kijora, nimeumia sana alipowasuta wana habari, ni kweli kaongea na Mimi nilimsikia Tena aliongea kwa kejeli hadi nikajiuliza wamechanja lini? Au ndio anatoka kuchanja? Jana kakana hakusema wakati TV zimemuonyesha akiongea, awaombe msamaha, mtanisamehe huyu mama nimemdharau sana
 
Mara wachanjaji hawajavaa gloves
Shida ya wakosoaji na wapinzani wa chanjo hawako consistent mara nguvu za kiume,mara watu watakufa,mara kupunguza waafrika ,mara taa zinawaka ulipochanjwa,mara dna zinabadilika , yaani upuuzi mtupu ,utasikia sijui wameoteshwa kwenye ndoto mara unabii yaani kila mtu anasema lake kutegemea alikunywa mbege,bia au KVant .KaLi kuliko zote eti ukichanja unakuwa Zombie

Safi Sana Waziri wa Afya.
 
Back
Top Bottom