#COVID19 Waziri Gwajima akamilisha barua ya kukamatwa kwa askofu Gwajima

Umeandika kishabiki zaidi Bila uhalisia

IGP alitamka wazi kuwa si tu kuandika barua kutamkamatisha Gwajima Bali polisi wataangalia kama kuna jinai yeyote ya ku warrant kukamtwa kwake

Wewe umeshatoa conclusion very sad weledi umepotelea kwenye ushabiki
Ndio utajua mmeo anadakwa muda si mrefu

USSR
 
I say, huyu mama anaupepeta sishangai hawaelewani na shemeji yake. Namuonea huruma huyo Gwajima junior. Hivi anaweza hata kumwambia niletee chakula kweli? Pepepepepepepepepeepepepepeeeeeee!!! Kapakue mwenyewe jikoni.
Anaperepeta wacha kabisa.Huyo anaoneka ile bolt inayoshikilia aibu ilikatikia ndani.so pako loose.Ole wako anzishe ligi
 
Rais Samia asipowafukuza hao masalia wa Magufuli watamyumbisha sana tokea lini waziri atoe maagizo halafu huyo aliyepewa maagizo na yeye atoe masharti! Hii maana yake ni moja tu ni dharau na ukimdharau mteule wa rais maana yake umemdharau rais mwenyewe.
 
Kwa wenye akili na uelewa wa mambo ya siasa wala hatushangazwi na haya. Kwa sasa hakuna anaemuongelea Mbowe wala kufikiria kuandamana kwa ajili yake. I mean akili na masikio yote ya bavicha yamehamia kwenye ugomvi wa kina Gwajima, huku likitengenezwa tukio lingine kupitia Sabaya au someone else.
a k a macho kumchuzi
 
Tuhuma lazima zithibitishwe, na wakiamua kuacha hili lipite kimya kimya kwa tabia ya CCM kubebana tutaamini kweli Rais alihongwa.
kwenye hili sakata nimeona kweli watz hamnazo. yaani wanataka mbunge atoe kashfa kubwa kama hiyo halafu aachwe tu. zingatia kuwa ametakiwa akadhibitishe,tatizo lipo wapi? Hii nchi ni ngumu sana kupiga hatua kwa sababu watu wake wanaishi maisha ya ushabiki kwenye kila jambo
 
Itakuwa Gwajiboy ali chetua kidogo....
IMG-20210819-WA0029.jpg
 
Nipashe inaripoti kuwa waziri wa afya Dorothy Gwajima amesema amewaandikia polisi barua ya kukamatwa kwa mchungaji josephat Gwajima.

Hii ni baada ya IGP kusema kuwa afuate hatua za kisheria

Soon mtasikia Gwajiboy ametiwa ndani


USSRView attachment 1898106
Alitoa maagizo kama rais, makamu wa rais au waziri mkuu?

Anayekamatwa ni mtu au kiongozi wa kiroho aliyetoa maoni yake ndani ya kanisa?

Mmeshaanza kuingilia uhuru wa imani za dini?

Kwanini kiongozi wa serikali atangaze ugomvi binafsi na mwananchi kwa kumishia kumkamata kiongozi wa kiroho?

Je, ni sahihi wananchi 100 kuathirika na chanjo ya UVIKO-19 kati ya wananchi 1,000,000 ni halali kuua kwa kigezo hicho?

Uhai wa mtu mmoja tu hauwezi kupindishwa!!!
 
Tatizo ni CCM yangu, huyu Gwajima sio CCM, ni chui CDM kavaa ngozi ya kondoo, Katibu Mkuu CCM, fukuza huyu pastor fake Gwajima haraka sana, aaarrghr, I wish i could be CCM Katibu Mkuu, ungekuta Gwajima saa hizi yuko out of CCM haraka sana.😡😡
 
Nahisi kwamba huyu waziri na shemeji yake wana matatizo ya shemeji-shemeji ambayo wanayaleta kwenye uwanja wa siasa na dini. Inawezekana kuna chuki hapa, labda Gwajima mwanaume anaona Gwajima waziri anamnyanyasa na kumfunika sana mdogo wake, na hasira zake kwa waziri shemeji anazileta kwenye chanjo.

Na pia inawezekana labda waziri kabla maisha hayajawaendea vema na mumewe Gwajima mbunge alikuwa akikataa kuwasaidia, na ndio maana
Tena ya muda mrefu sn
 
Duh! huyo mume wake ana shughuli, na hao mawifi naona ameshawapanda kichwani......
 
Back
Top Bottom