Waziri G. Kabaka atembelea Vodacom ghafla

Dazzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
214
Reaction score
56
Kuna tetesi kuwa asubuhi hii waziri wa kazi na jira mh. G. Kabaka amekuwa na ziara ya ghafla pale vodacom makao makuu na kuonana na uongozi.

Nadhani hii ni kutokana na wafanyakazi wapatao 500 waliopelekwa na mawakala kufanya kazi call centre ya Vodacom.

Itakumbukwa hivi karibuni waziri alitangaza kuwa serikali imeyafungia makampuni kadhaa ya uwakala.

Mwenye taarifa kamili kuhusu nini waziri ameongea na uongozi wa Vodacom atujuze
 
Bora watu waajiriwe tu na makampuni moja kwa moja...dah
 
Hongera mama waziri,kazi za kuajiriana ki udalali zote zife! Kampuni ziwe zinatangaza nafasi kwenye vyombo vya habari watu wa compete na waajiriwe na walipwe fair kulingana na sifa zao
 
Hii kitu mbaya sana na hata German tayari wanapanga jinsi ya kuipiga vita. Tatizo kubwa la hiyo System ni nchi kukosa pesa za Bima ya Afya na kodi kibao kwani jamaa huwa hawalipi.

Kuna film niliona jinsi makampuni ya ALDI, Ryanair, LIDL nk wanavyoibia nchi na watu kwa kufanya huduma za bei ya kutupa huku wafanyakazi wakifanyishwa kazi kama Punda kwa malipo duni na bila bima yoyote.

Kama kuna mtu anamfahamu huyu Mama na anajua Kifaransa, basi hii film itasaidia sana kujua jinsi wanavyofanya.

Hongera mama waziri,kazi za kuajiriana ki udalali zote zife! Kampuni ziwe zinatangaza nafasi kwenye vyombo vya habari watu wa compete na waajiriwe na walipwe fair kulingana na sifa zao
 
Last edited by a moderator:
KWA UFUPI kuhusu hiyo film ya DISCOUNT OUR LIVES:

1. Kwanza wanaanza kwa kuingiza Wabunge wengi sana Bungeni na hata kuweka Mawaziri au Rais. Hili waweza kuliona kwa sababu Rostam Azziz ndivyo alivyofanya kwa kuweka Serikali yake hapo mwaka 2005 ambayo hadi leo ndiyo wanatutawala.

2. Wakishaweka Serikali yao, ndipo wanaanza kuwaambia watu wao waandike sheria ambazo zitawalinda wao na huo wizi wao. Maadamu wengi hatujui sheria, wakati Wabunge wanajadili, hata hatujui nini kinaendelea. Labda hapo awepo mtu kama Tundu Lissu. Ila na yeye atatukanwa na watu kama Serukamba (Mzee wa F*ck you) na kutemwa na watu kama Mwigulu Nchemba. Atakalishwa chini na Naibu Spika Ndungay au Mama Spika mwenyewe na mwisho hata Ikulu watasema anajua sana Sheria ila anachanganya mambo na kuwachanganya wenzake.

3. Kwenye Mitandao nako watakuja hawa watu wao na kumtukana kila anayejaribu kuhoji kwa nini iko hivyo.

4. Sheria ikishapitishwa na wakasubiri ipoe poe kidogo, ndipo wanaanza sasa huo wizi wao. Mkianza kulalamika, unakuta kwamba mbona sheria zinaruhusu na hii ilishapitishwa miaka mingi na hamkulalamika? Wakati huo sasa unakuta kwamba, kwenye Board ya Vodacom, wanakuja kukaa washikaji zake Rais, Waziri Mkuu na wale wote waliokuwa wakipigia debe hiyo sheria. Utashangaa watu hao hulipwa fedha nyingi sana kwa kazi ambayo hata hawaifahamu na hawaifanyi ila ukweli ni kuwa mwisho wa siku, 2/3 ya hizo fedha, zinakwenda kwa Rais aliyepitisha sheria, Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wahusika na wabunge walioipigia debe na kuifanya iwe sheria.

Nafikiri hapa ndiyo wengine inabidi wajiulize, fedha za Lowassa zinatoka wapi na akishashika madaraka, hayo makampuni yaliyomsaidia, yatataka asante ya kiasi gani? Ndiyo maana naipenda hiyo TITTLE ya film ya Wafaransa: DISCOUNT OUR LIVES au TUPUNGUZE BEI YA MAISHA YETU kwa maneno mengine, sisi wenyewe tunajishusha bei yetu wenyewe kwa kufurahia fedha za muda mfupi huku mbele yetu ni giza nene linatanda.

Nani wa kulaumu? Tuwalaumu wao au sisi wenyewe? Kwani wamekuja kwa nguvu kama zamani? Kwani wanatutawala? Kwani wanatuibia kwa nguvu? Kwani...... Hapana. Ni kama Trojan Horse ambapo sisi wenyewe na njaa zetu/tamaa zetu tunawafungulia mlango na kuwaingiza ndani kwa mikono miwili huku tukifurahia Pipi zao. Kesho wakianza kuchukua malipo yao ya hizo Pipi, tusianze kulialia kama watoto maana wenyewe tulitaka.
Wao kama wafanya biashara, wanataka faida na faida zaidi. Sisi na njaa zetu/tamaa zetu tuna DISCOUNT OUR LIVES.

CC: Pasco Mtanzania @Mwanakijiji Fundi Mchundo Nyani Ngabu @JokaKuu FairPlayer faiza Foxy .....

Film: NOS VIES DISCOUNT. - YouTube
 
Good observation mkuu. Looks like huko ndio Tanzania ilikua inaelekea.

Sikonge umezungumza mengi mazuri tatizo hii serikali sikivu.....
 
Last edited by a moderator:
Siyo kuwa tunaelekea ila tayari tumeshafika.

Kama unafahamu Kifaransa, ungeliangalia hiyo film na kujua hasa nini kinafanyika.

Sasa hivi Romania, Bulgaria nk ndiyo wanaipata habari yao na wanaelewa sasa kwa nini waliingizwa kwenye Umoja wa Nchi za Ulaya huku wao ni masikini. Sasa hivi huko ndiko wanatumika haswa yaani ni kama Manamba wa Ulaya.

Good observation mkuu. Looks like huko ndio Tanzania ilikua inaelekea.
 
Mkuu, tatizo hapa si Serikali sikivu. Hii kitu hata UK, German ipo na ni nchi ambazo usingelitegemea iwepo.

Hao Kaka wawili wa ADLI ni MAFIA walikuwa wanajificha hawataki wafahamike/waonekane pamoja. Hadi leo duniani wanasema kuna kama mbili tu za hao Wazee wakiwa pamoja (mmoja kashakuwa Marehemu sasa). Kwenye film kuna Mwanasheria ambaye anajuta kuwa amewasaidia hao wazee wawili bila kujua kuwa wazee ni Wanyonya damu za watu....

Pichani ni ALDI Brothers... Theo and Karl Albrecht

albrechtbrueder.jpg
Familie-Albrecht-beim-Kirchgang-in-Essen.jpg

Sikonge umezungumza mengi mazuri tatizo hii serikali sikivu.....
 
Wakuu ni kweli mama waziri katembelea leo vodacom,ila tupe mda tutapata feedback ila kimsingi ni kwamba Erolink wanatakiwa wapige chini kwa hali yoyote ile. Ila tetesi zilizopo ni kwamba EROLINK wanaonekana wanataka kupingana na tamko la waziri na wanataka kuleta kiburi. Ngoja tuchunguze tukipata habari za uhakika tutawajulisha. Kwa upande wa EROLINK wao wanadai kwamba
1. Hawadaiwi bilioni moja na TRA kama ilivyonukuliwa katika vyombo vya habari

2. Wanatoa kauli za vitisho has kwa huduma kwa wateja kwamba bado wataendelea kuwa nao.

Nikipata habari nyingine tutawapa wakuu tupen muda tuwape habari za uhakika
 
KWA UFUPI kuhusu hiyo film ya DISCOUNT OUR LIVES:

1. Kwanza wanaanza kwa kuingiza Wabunge wengi sana Bungeni na hata kuweka Mawaziri au Rais. Hili waweza kuliona kwa sababu Rostam Azziz ndivyo alivyofanya kwa kuweka Serikali yake hapo mwaka 2005 ambayo hadi leo ndiyo wanatutawala.

2. Wakishaweka Serikali yao, ndipo wanaanza kuwaambia watu wao waandike sheria ambazo zitawalinda wao na huo wizi wao. Maadamu wengi hatujui sheria, wakati Wabunge wanajadili, hata hatujui nini kinaendelea. Labda hapo awepo mtu kama Tundu Lissu. Ila na yeye atatukanwa na watu kama Serukamba (Mzee wa F*ck you) na kutemwa na watu kama Mwigulu Nchemba. Atakalishwa chini na Naibu Spika Ndungay au Mama Spika mwenyewe na mwisho hata Ikulu watasema anajua sana Sheria ila anachanganya mambo na kuwachanganya wenzake.

3. Kwenye Mitandao nako watakuja hawa watu wao na kumtukana kila anayejaribu kuhoji kwa nini iko hivyo.

4. Sheria ikishapitishwa na wakasubiri ipoe poe kidogo, ndipo wanaanza sasa huo wizi wao. Mkianza kulalamika, unakuta kwamba mbona sheria zinaruhusu na hii ilishapitishwa miaka mingi na hamkulalamika? Wakati huo sasa unakuta kwamba, kwenye Board ya Vodacom, wanakuja kukaa washikaji zake Rais, Waziri Mkuu na wale wote waliokuwa wakipigia debe hiyo sheria. Utashangaa watu hao hulipwa fedha nyingi sana kwa kazi ambayo hata hawaifahamu na hawaifanyi ila ukweli ni kuwa mwisho wa siku, 2/3 ya hizo fedha, zinakwenda kwa Rais aliyepitisha sheria, Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wahusika na wabunge walioipigia debe na kuifanya iwe sheria.

Nafikiri hapa ndiyo wengine inabidi wajiulize, fedha za Lowassa zinatoka wapi na akishashika madaraka, hayo makampuni yaliyomsaidia, yatataka asante ya kiasi gani? Ndiyo maana naipenda hiyo TITTLE ya film ya Wafaransa: DISCOUNT OUR LIVES au TUPUNGUZE BEI YA MAISHA YETU kwa maneno mengine, sisi wenyewe tunajishusha bei yetu wenyewe kwa kufurahia fedha za muda mfupi huku mbele yetu ni giza nene linatanda.

Nani wa kulaumu? Tuwalaumu wao au sisi wenyewe? Kwani wamekuja kwa nguvu kama zamani? Kwani wanatutawala? Kwani wanatuibia kwa nguvu? Kwani...... Hapana. Ni kama Trojan Horse ambapo sisi wenyewe na njaa zetu/tamaa zetu tunawafungulia mlango na kuwaingiza ndani kwa mikono miwili huku tukifurahia Pipi zao. Kesho wakianza kuchukua malipo yao ya hizo Pipi, tusianze kulialia kama watoto maana wenyewe tulitaka.
Wao kama wafanya biashara, wanataka faida na faida zaidi. Sisi na njaa zetu/tamaa zetu tuna DISCOUNT OUR LIVES.

CC: Pasco Mtanzania @Mwanakijiji Fundi Mchundo Nyani Ngabu @JokaKuu FairPlayer faiza Foxy .....

Film: NOS VIES DISCOUNT. - YouTube

Kwenye bodi ya vodacom wamemuweka.yule Mama aliyekuwa balozi wa Tanzania UK na Baadae USA,ambaye anahusika kwenye mikataba ya kinyonyaji ya makampuni ya madini ya kutoka nje...na ile kampumi ya uwakili pale Upanga karibu na Jeshi
 
Mimi ni mfanyakazi wa ero link hapa voda hawa jamaa ni wanyonyaji sana ila sasa wamepatikana wanaangaika kama kuku aliyechijwa kila siku vikao tunamuombea waziri ikibidi raisi watusaidie
 
sjui litaishia vipi hili sakata inaonekana erolink ndo wanyonyaji hasa na ndio main target ya ili suala na inaonekana kina mtu anawalinda tuone mwisho wake, ila hali ni mbaya hawajamaa wanapiga mzigo mwanzo mwisho mtu anaongea toka anaingia hadi anatoka wimbo ni nyota reli nyota reli dah kazi kwelikweli inabidiwaangalie kwakweli
 
Back
Top Bottom