Hivi hizo ziara za gafla mnazo zisifia zina msaada gani?
Huyu waziri wenu ana matatizo, yani kufanya kikao na uongozi wa kampuni kuna hitaji kushitukiza.
Na amepata majibu ya kushitukiza maana hata yeye alishutikiza na watu inabidi wamuandalie document na vitu anavyo vihitaji maana hakusema mapema.
Kama ana simamia sheria sioni sababu ya kushitukiza hili kupata majibu mazuri maana sheria zipo anacho takiwa ni kusema tuu siku fulani nakuja na nina hitaji kuongea na wafanyakazi na siku fulani ni uongozi.
Hii zima moto haito wasaidia kabisa.
Mtu kama huyu kawapa sababu watu hata kama ni wezi, kujibu kila swali lake kwa jibu moja tu.
"Hatuna jibu kwa sasa, hatukutegemea ujio wako, tunahitaji muda zaidi kukupatia taarifa".
Then the whole exercise, in so far as the element of surprise is concerned, is null. It's not like this is some Vita Vya Kagera battle where one has to surprise Amin or something, this war is fought by using the law.
Unaweza kwenda ofisini kwa mtu ghafla aka file suit ya harassment na tresspassing, akakuzuia usifanye chochote mpaka awepo mwanasheria wake. Sema huko bongo tu ambako mawaziri ni kama miungu watu ndo waziri anaweza kuja ghafla ghafla tu. Waziri anazuka ghafla tu watu wana mkutano wa multi hundred million dollar deals? Anapigwa chini vizuri tu, bila hata soda.
Unless Waziri anakuja na search warrant na polisi, ili kusearch premises in a surprise visit, sioni point ya surprise.
Wabongo tushazoea kupelekana kama ng'ombe, ndiyo maana watu wanasifia haya.
Na mwisho wa siku unaweza kuambiwa ni mchezo wa kuigiza tu, hakuna lolote la maana kimsingi litakalofanyika.
Huku watu wanachekelea mpaka jino la mwisho.
Juvenal said it best, give them bread a circuses.
Except we don't even get the bread.
Only circuses.
Bad circuses at that!