johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,133
Nadhani ndio mwelekeo!CCM wazee wa recycle and re-use, wamrudishe wizara ya afya kuondoa kelele za ukoo wa Gwajima.
Nimekuelewa manka!Sababu chanjo ni hiari anayeikubali yuko sawa kama yule anayeikataa
Huu utata wa baadhi ya watu kuikataa chanjo utata umeanzia hukohuko
Wajumbe wa Kamati ya Prof Lyamuya iliyochunguza sakata la Matunda kutest postive kwa COVID-19, ndio hao hao waliopendekeza Chanjo. Wakati wa JPM.Wizara ya afya hao hao waliojenga kibanda cha kupinga nyungu Muhimbili. Hii nchi ni Alfu lela Ulela.
Mwendazake alifanikiwa sana kuifanya taaluma ya afya ionekane kama sanaa...Wizara ya afya hao hao waliojenga kibanda cha kupinga nyungu Muhimbili. Hii nchi ni Alfu lela Ulela.
johnthebaptist 😃Nimekuelewa manka!
Baada ya kula matapishi yake mwenyewe anaanza kutoka kwenye hoja ya chanjo anamuattack Gwaji Boy personally....Gwaji Girl ni Disgrace to this Nation.Ninamtetea, yeye alisimamia ethics za profession yake hadi akafukuzwa. Hakuamini kwenye kashwagala na aliamini kwenye science. Huyu wa Singida aliyeolewa kwa akina Gwajima amekula matapishi yake mwenyewe so she is supposed to resign.
Hivi ile Sauna bath bado ipo pale Muhimbili?Wizara ya afya hao hao waliojenga kibanda cha kupinga nyungu Muhimbili. Hii nchi ni Alfu lela Ulela.