Waziri Dkt. Mpango aagiza watumishi 22 wa TRA kusimamishwa kazi

Hahaha utasikia " sio mimi haya ni maagizo kutoka juu"
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu



Pale Chalinze Kumeoza Ondoa Askari Askari Askari Wote Mpaka OCD, Juzi WalikuwA Wanasindikiza Malori Saba Yaliyobeba Reli Za SGR!!

IGP Umenisikia, Ni Police Wachache Pale
Unajua Mtanivuruga Hapa Sasa Hivi
😀😁😂🤣😃😄😅
 
Kma hao akina Adam ni wala rushwa mnooo. Wanatishia faini kubwa ili ulalamike wakupunguzie kwa kuwapa rushwa hapo same. Magu fukuza hizo mbwa mbili. Halafu adam mmoja ni mzee mno kwanini ajiharibia wakat keshokutwa tu anastaafu??
 
Back
Top Bottom