Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,582
- 2,209
una maanisha nini?lakini mbona haiko kwenye mamlaka yake ya uteuzi?
Alitakiwa asimamishwe na Katibu Mkuu Kiongozi sababu ni mteule wa Raislakini mbona haiko kwenye mamlaka yake ya uteuzi?
Hii nchi imeoza sababu ya mifumo mibovu
mteule wa raisi huwa anatenguliwa na raisuna maanisha nini?
nini kimefanyika mpaka sasa?mteule wa raisi huwa anatenguliwa na rais
Mama hana mchezo na pesa ya Serikali kabisa,mteule wa raisi huwa anatenguliwa na rai
MaDED wa mchongo🤣🤣
Mama hana mchezo na pesa ya Serikali kabisa,
Mkuu ulikuwa umepotelea wapi? Kuna taarifa kuwa na wewe uko nyuma ya Umoja PartMama hana mchezo na pesa ya Serikali kabisa,
Na baadae mkishasahau wanapangiwa kazi zingineHuwa tunasikia ubadhirifu wa mamilioni kila kukicha na watu wanaishia kufukuzwa kazi
Sasa swali fikirishi ni wangapi wamezirudisha au huwa wanagawana tena baada ya kumbana mhusika...
Mama hana mchezo na pesa ya Serikali kabisa,
Na baadae mkishasahau wanapangiwa kazi zingine