Hivi wewe ungefurahi kusikia mzazi wako au ndugu yako amepanda kwenye moja ya hilo basi. Mimi binafsi nisingeweza kutulia mpaka afike salama.Huyu naye ana mambo ya hovyo sn, kama gari haijapata ajali na inaking'amuzi shida nini?
Inaonekana mambo ya speed yanakupiga chenga bado. Bus nyingi zinafikaga 180 bila abiria kujua. Ajari nyingi si matokeo ya speed bali miundombinu mibovu ya barabara, Sheria ya speed ya leo ni ya kale haiangalii maendeleo tuliyofikia.Dah 125 km per hour na tena kwenye barabara zetu hizi isitoshe mabasi ya abiria? Wafungiwe tu.
Speed 120 ni kawaida sana, mbona wao gari zao zinaenda mpk speed 220 au wao hawajali uhai wao wanatujali sana sisi wananchi? gari za Serikali mara kwa mara zinapata ajali au huwa husikii?Hivi wewe ungefurahi kusikia mzazi wako au ndugu yako amepanda kwenye moja ya hilo basi. Mimi binafsi nisingeweza kutulia mpaka afike salama.
Wewe ndo umeusema ukweli. naamini tafiti za chanzo cha ajari kikubwa Serikali inazipika kukwepa wajibu hasa wa miundombinu ya barabara zetu na usimamiaji wa matumizi yake.Kuendesha 125km/h sio tatizo . Tatizo haswa ni:
1. Je barabara zetu zina ubora wa kuhimiri hiyo speed ya 125
2. Je vyombo kama mabasi hayo viko roadworthy kuwepo barabarani?
3. Je kuna vifaa gani zaidi ya vitochi vya polisi vinavo zuia watu kuendesha mwendo hatarishi?
Ni nini serikali inafanya ili kuwawezesha madereza kutii sheria barabari, speed governors hazitoshi, vipi kuhusu traffic speed camera -Kwa nini zisifungwe huko barabarani? driving licences kuwa na points kwa kila kosa kabla ya kuwa revoked?
Waziri hawezi tu kuwafungia watu kufanya kazi maana watashindwa kuishi, na Judge makini hawezi kuwa- deprive haki yao ya kuishi kwa kukosa kazi au kipato na atawapa adhabu mbadara na wataendelea na kazi yao ya kuendesha mabasi. Kosa ni kwa serikali kutoweka namna bora ya kuzuia mwendo hatarishi kwa kuweka vifaa vinavyo wafanya watu wajue kwamba ni hatari- mfano- compursory awareness course kwa madreva wa mabasi kila mwaka, kufunga average speed cameras huko mabarabarani ( sio vitochi), kuhakikisha road worthiness ya vyombo na ubora wa njia za magari na mambo mengineyo ambayo wenzetu wanafanya huko duniani.
Ester ni ya Mwigulu...?Ester luxury Coach kampuni ya mabasi ya mwigulu nchemba mbona waziri hajawafungia? Mwendo wa mabasi hayo ni kms 140 kwà saa.
Komenti hii imekaa kitoto toto.Huyu naye ana mambo ya hovyo sn, kama gari haijapata ajali na inaking'amuzi shida nini?
Na hao huwa wanapinga kila kitu. Wanajulikana.Tanzania ina walalamikaji wengi sana
Au aende Chato akanunue ule mkokoteni unao kokotwa na punda🐴 na kutuachia mabasi yetu.Siupande trecta sasa
Labda Kama yanapaa angani maana Kuna foleni, bumps, madaraja, miji yenye watu wengi njiani nk Sasa mote humo gari inatembea 160kph na zaidi?Mpuuzi wewe, magari yao yanatembea chini ya speed 160 KPH?
Na mnavyosema watu wavae barakoa wakati hawajapata Corona shida inatokea wapi, basi wote mna mambo hovyo!!Huyu naye ana mambo ya hovyo sn, kama gari haijapata ajali na inaking'amuzi shida nini?
Nyumbu mwingine, aliyekwambia kuna matrekta ya abiria nani?Siupande trecta sasa
Basi likipata ajali, wanaokufa au kupata ulemavu ni sisi, sio viongozi unaowasema.Wanajifanya wanapenda wananchi huku magari yao yakienda zaidi ya speed 200 KPH