Kuendesha 125km/h sio tatizo . Tatizo haswa ni:
1. Je barabara zetu zina ubora wa kuhimiri hiyo speed ya 125
2. Je vyombo kama mabasi hayo viko roadworthy kuwepo barabarani?
3. Je kuna vifaa gani zaidi ya vitochi vya polisi vinavo zuia watu kuendesha mwendo hatarishi?
Ni nini serikali inafanya ili kuwawezesha madereza kutii sheria barabari, speed governors hazitoshi, vipi kuhusu traffic speed camera -Kwa nini zisifungwe huko barabarani? driving licences kuwa na points kwa kila kosa kabla ya kuwa revoked?
Waziri hawezi tu kuwafungia watu kufanya kazi maana watashindwa kuishi, na Judge makini hawezi kuwa- deprive haki yao ya kuishi kwa kukosa kazi au kipato na atawapa adhabu mbadara na wataendelea na kazi yao ya kuendesha mabasi. Kosa ni kwa serikali kutoweka namna bora ya kuzuia mwendo hatarishi kwa kuweka vifaa vinavyo wafanya watu wajue kwamba ni hatari- mfano- compursory awareness course kwa madreva wa mabasi kila mwaka, kufunga average speed cameras huko mabarabarani ( sio vitochi), kuhakikisha road worthiness ya vyombo na ubora wa njia za magari na mambo mengineyo ambayo wenzetu wanafanya huko duniani.