Bila ushahidi ingekuwaje?Huwa najiuliza kila siku.Hv ingetokea labda Meya wa Chadema ndo kagundulika kafoji vyeti hv ingekuaje?!
Bila ushahidi ingekuwaje?Huwa najiuliza kila siku.Hv ingetokea labda Meya wa Chadema ndo kagundulika kafoji vyeti hv ingekuaje?!
Hivi tunajua maana ya "Forgery" au "Fake" item? (Kugushi cheti) Je? Kuwa na majina mawili tofauti ni forgery? Nijuavyo Kugushi ni kuigiza Saini, maandishi au muundo wa bidhaa ya mtu mwingine kwa lengo la kuhadaa na kuhalalisha matumizi yake. Jina ni utambulisho wa mtu ambao mwenyewe au kwa niaba yake, mtu mwingine anaamua kulitumia katika kujitambulisha kwa wengine.Sifa ni kujua kusoma na kuandika,lakini vipi kuhusu kosa la jinai la kufodge vyeti???Maana kama wasingeingia kwenye siasa wangevitumia kupata ajira!
Awajibishwe kwa kosa ganiKama vipi wenye vyeti feki wakatae kung'atuka mpaka bashite naye awajibishwe
Mtoa post si kada mwenzako nini kimemkumba? Au mrija umekata jiandae na wewe siku mambo yakiharibika akili lazima ikurudi tu.Mta posti upuuzi
kakini mnapoteza muda.
Hivi JamiiForums Moderator
jf imekuwa niSehemu yakumtukania Rais!!?
Huyu ni mwana CCM kindakindaki hapa JF sijui nini kimempata mpaka nimeshangaa.sijui mrija wa asali umekatwaa. AaaahhhKweli mnajua kutanua na ID zenu humu JF, duh!!!!
Anazengua kupitiliza kama mtoto bhana. Kumbe mzeeMbona msio na busara mnatoa matusi hata kwa Rais muelewe huyo ni RAIS wa wote hats ninyi mkikwama mnamkumbuka. Muwe na kiasi
Mkuu hao unaowataja ni vichwaa balaa yaani walipata ABABABAB tena kam msigwa sijui kwanini asiwe ndiye mshauri mkuu wa serikali.Kwa nini huombi vyeti vya mbowe lowasa na sumaye na tundu lisu na mchungaji msigwa Vihakikiwe? Kuanzia vya kuzaliwa?
Basi kuanzia leo naomba niitwe Ibrahim Lipumba,msisahau kunipa na uprofesa!Hivi tunajua maana ya "Forgery" au "Fake" item? (Kugushi cheti) Je? Kuwa na majina mawili tofauti ni forgery? Nijuavyo Kugushi ni kuigiza Saini, maandishi au muundo wa bidhaa ya mtu mwingine kwa lengo la kuhadaa na kuhalalisha matumizi yake. Jina ni utambulisho wa mtu ambao mwenyewe au kwa niaba yake, mtu mwingine anaamua kulitumia katika kujitambulisha kwa wengine.
Kusoma na kuandika.......... This is Tanzania!!Inawezekana vipi asiyethamini vyeti ndiye afanye uhakiki wa vyeti? Je si wakati sasa wanasiasa kujitenga na mambo ya kitaalamu Maana wao ni kujua na kusoma tu?
Na Ndio sababu makabadhiano ya ripoti hiyo yalifanyika NJE ya Daa Salamu!Ishafeli!hapo wamefanya kumkwepesha mtu fulani tu
Ova
Hahaha angekua mikononi mwa siro huku media zikihabarishwa kila sikuHuwa najiuliza kila siku.Hv ingetokea labda Meya wa Chadema ndo kagundulika kafoji vyeti hv ingekuaje?!