Karl MaxIla kuna kautafiti kalifanyika kanasema ili jamii iendelee lazima matabaka yawepo.
huyu black pipo nae eti mshipa wa shingo umemsimama, mishipa ya m**n*du imefura anakomaa bashite atumbuliwe kwa kufoji vyeti!!!"I real thnx God" sijawai kufanya kazi serikalini maana ningekufa na huyu rais anayekurupuka ovyo
Hili jambo linahitaji akili ya ziada tu sio lazima uwe kwenye hizo idara
Pole sana kama kosa hulioni
Basi kama hao untouchables sio watumishi wa umma!niwatumishi wanani???? na kama sio watumishi wa umma?mbona umma ndio unawalipa mishahara na posho mbalimbali lukuki??? Basi kama hao si watumishi wa umma! Umma haupaswi kuwalipia mishahara na posho zao kupitia kodi za umma!!! Haya ni mawazo yangu binafsi pengine nimekosea na kama nimekosea naomba kusahihishwaNi uelewa wako tu! Hawa waliotajwa sio watumishi wa umma, ambao ni Diwani Deus LUGHE, Mbunge Freeman MBOWE, RC Paul MAKONDA, DC Ally HAPI, WAZIRI MKUBWA, Waziri SIMBACHAWENE, DR TULIA NA BOSI WAKE, NK Akiwemo bosi wa JMT.
Hahahaaaa pole sana,nadhani umeshamsikia ndalichako dodoma.ktk watumishi 9000 huyo unaedai bashite yupo?na wewe umefoji cheti kihiyo wewe
Stretch your mind ! Usiwe KI.LA.ZA kama hawa walioshindwa kuelewa phrase ndogo kama hii aliyotoa Prof.Kabudi kuwa "when law was law and President was President'! Wanatafsiri kiswahili kuwa sasa hatuna sheria wala Rais! Wapuuzi ! Acha Wakenya watudharau kwa Uki.la.za wa Lugha ya Kiingereza tu!Kumbe ilitakiwa nijue tu kusoma halafu nitafute nafasi ya kisiasa!
Stretch your mind ! Usiwe KI.LA.ZA kama hawa walioshindwa kuelewa phrase ndogo kama hii aliyotoa Prof.Kabudi kuwa "when law was law and President was President'! Wanatafsiri kiswahili kuwa sasa hatuna sheria wala Rais! Wapuuzi ! Acha Wakenya watudharau kwa Uki.la.za wa Lugha ya Kiingereza tu!
Huwa sipendi hawa viherere here!!!Stretch your mind ! Usiwe KI.LA.ZA kama hawa walioshindwa kuelewa phrase ndogo kama hii aliyotoa Prof.Kabudi kuwa "when law was law and President was President'! Wanatafsiri kiswahili kuwa sasa hatuna sheria wala Rais! Wapuuzi ! Acha Wakenya watudharau kwa Uki.la.za wa Lugha ya Kiingereza tu!
Uongozi ni pamoja na kuwa na hekima na breki ya mdomo kutotoa si tu maneno mabovu, bali pia maneno ambayo kirahisi tu yanaweza kutafsiriwa vibaya.Stretch your mind ! Usiwe KI.LA.ZA kama hawa walioshindwa kuelewa phrase ndogo kama hii aliyotoa Prof.Kabudi kuwa "when law was law and President was President'! Wanatafsiri kiswahili kuwa sasa hatuna sheria wala Rais! Wapuuzi ! Acha Wakenya watudharau kwa Uki.la.za wa Lugha ya Kiingereza tu!
Nmetoka mweupeWe umeelewa nini kwenye hiyo kauli ya Profesa?
Mpaka 2020 tutaona maajabu mengi sanaKama elimu haijakusaidia unatakaje sasa?
Achana na ujinga wa awamu hii nayo itapita angalia mambo yako
Mkuu, awamu hii imekula kwetu, nathubutu kusema tumeliwaMpaka 2020 tutaona maajabu mengi sana
Mm nafikiri itungwe sheria kuhusu hawa viongozi wetu wa ngazi za juu
Inabidi kwa hawa wabunge na wakuu wa mikoa angalau wawe na elimu ya kidato cha sita na mawaziri wawe na elimu angalau degree bila hivyo tutaendelea kuzalisha taifa la vilaaza kila kukicha.
Mwenye nacho huongezewa asio nacho hunyang'anywa hata kile kidogo alichokuwa nachoMkuu, awamu hii imekula kwetu, nathubutu kusema tumeliwa