Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

Halafu Mei Mosi ndiye mgeni rasmi sherehe ya Watumishi wa Umma mkoani!!. Mtapita mbele yake kwa heshima zote Na kusoma Risala!!!
 
Hakuna namna nyingine unaweza kusema,alichofanyiwa Nape baada ya kuthubutu,Waziri kariuki katishika kwa Bashite.

zoezi zima litaonekana la hovyo ikiwa Bashite bado atabaki ofisini.

sasa mawaziri watakuwa waoga WA kuthubutu,hata pale ambapo jamii iliexpect wachukue hatua.


[HASHTAG]#Cheti[/HASHTAG] cha Bashite kihakikiwe#
Mtoa mada Bashite ni nani??
 
Friends and Enemies..,

Who is Magufoliing who?...Angela Kairuki or Juma Poor Manager?...

Fascinating.,indeed it is very very fascinating...!what does juma poor manager think?that he is going to R.I.P bashite's drama?..

Hii kitu mbona iko wazi sana?Yusuph makamba alikuwa. Regional commissioner Dsm na hakuwa na elimu ya kutisha wala ya kustusha na hakuna aliekamshikia bango kuhusu suala la elimu hata siku moja...

Hili suala liko wazi...iachwe double standards katika hili.

Na ifamike wazi kwamba hakuna anaepinga vita dhidi ya vyeti feki kama vile ambavyo hakuna anaepiga vita dawa za kulevya...kila mwenye akili timamu lazima aunge mkono mambo hayo.

Na isieleweke kama watu wana chuki na bashite...hapana hapa tunaendelea kupiga kelele ili haki itendeke..

Hata kama bashite angekuwa kapata nafas hizo alizozipata kwa elimu ya darasa la saba kwetu sisi haituhusu na wala hatuoni umuhim wa kuhoji...ni juu yake mwenyewe juma poor manager.

Ishu kubwa ya bashite hapa ni kutumia cheti ambacho siyo chake na kufanikiwa kuongopea umma wa watanzania hadi mamlaka za uteuzi kuwa yeye ni Paul Makonda ili hali yeye ni Daudi Bashite...hilo ni kosa la jinai tena si kufoji vyeti tuh hilo ni zaid ya kufoji vyeti.

Na kuendelea kwake Daudi bashite kukaaa kimya katika hilo suala au hata mamlaka zake za uteuzi ni ushahid tosha kuwa suala hilo ni mwiba mchungu kwao na ambalo wameshindwa kabisa kulitolea clarifications...

Kama Juma Poor Manager anadiriki kusema kwamba hawez kuwasamehe ndugu zetu wenye vyeti feki na angela kairuki anasema kwamba zoez hilo halihusishi viongiz wa kisiasa wafaham fika kuwa hilo siyo jibu katika hoja hii ya bashite..

Bashite kama angekuwa kapata nafas hizo kwa vyeti vyake halisi vya darasa la saba ni sawa lakin kwake haikuwa hivyo...analindwa kwa style hii kwa nin hasa?

Ni jambo ambalo hakika liko wazi na kuendelea kukumbatiwa inatia shaka vita hii ya vyeti feki na kuondoa uhalisia wake moja kwa moja...

Daudi bashite pamoja na uozo wake mwingi ambao juma poor manager ameamua kuufumbia macho atambue kuwa hata kama itachukua kipindi chote cha utawala wa juma poor manager suala hili bado litashikiwa bango,

Angela kairuki na Joyce ndalichako hata kama wanaujua uhalisia watafanya nin?

Kwan wao hawataki kuish maisha mazur?yaliyomkuta nape kwan wameyasahau?...

Wanajua fika wakigusa suala la bashite watamgusa baba yake juma poor manager...walichobakia nacho ni kuhadaa umma na kukaa mbali kwa hoja kwamba zoez hilo halijagusa wanasiasa.

Lakin kwa hakika hili ni jambo ambalo limeondoa uhalisia wote wa vita hii dhidi ya vyeti feki na kujenga taswira mbaya ya double standards na upendeleo ambao wengine tunauona ukiegemea zaid kwenye ukabila tuh.

Ukimya wa daudi bashite katika hilo ni uthibitsho tosha kuwa hana ujasiri wa kupambana na ukweli unaomsuta.
 
Ivi kwa mini waliochora ramani waliipindisha hadi mlima Kilimanjaro ukawa Tanganyika na sio kenya, ndomana wakenya wanatumaind Sana watanzania wanajiuliza mjerumani alimpa nini muingereza na vile alivokuwa mroho hadi akakubali kumwachia mlima, na baba Yao wa taifa kwanini hakuanzisha vuguvugu la kuurudisha usomeke upande wao? Nahisi bastola hazikuwepo enzi zile
 
Hakuna namna nyingine unaweza kusema,alichofanyiwa Nape baada ya kuthubutu,Waziri kariuki katishika kwa Bashite.

zoezi zima litaonekana la hovyo ikiwa Bashite bado atabaki ofisini.

sasa mawaziri watakuwa waoga WA kuthubutu,hata pale ambapo jamii iliexpect wachukue hatua.


[HASHTAG]#Cheti[/HASHTAG] cha Bashite kihakikiwe#
Shikamooo Bashite!
 
Mwenye macho haambiwi tizama.

Kelele zote zihusuzo suala zima la kufoji vyeti kumbe kwa wanasiasa wao wana kinga, .

Ukiwa diwani,mbunge, waziri, Rais n.k basi upo salama kwenye hili vuguvugu..
 
Hajawahi kutokea tangu tujipatie uhuru kamili,afsaa mwenye elimu ya kuunga unga kukichonganisha chama na wapiga kura wake kama kihiyo huyu.
 
Kwa nini huombi vyeti vya mbowe lowasa na sumaye na tundu lisu na mchungaji msigwa Vihakikiwe? Kuanzia vya kuzaliwa?
Hao hakuna aliye fail kiasi cha kuamua kutumia jina LA MTU mwingine kutoka kimaisha.
 
Back
Top Bottom