Waziri aibiwa akiwa gesti

Waziri aibiwa akiwa gesti

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
Na Waandishi wetu
8th June 2014
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, anadaiwa kuporwa vitu mbalimbali zikiwamo nguo pamoja na fedha, wakati akiwa amelala kwenye moja ya nyumba za kulala wageni iliyoko mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Habari zilizoifikia NIPASHE Jumapili jana zilisema uhalifu huo dhidi ya Waziri ulifanywa usiku wa kuamkia jana.

Akithibitisha habari hizo Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu, Charles Mkumbo, alisema Dk Kamani ambaye ni mbunge wa jimbo la Busega (CCM) pia Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, aliibiwa usiku wa kuamkia jana.

" Ni kweli tukio hilo lipo. Lakini nipigie simu baadaye kwa sababu nipo kwenye kikao" alisema Kamanda Mkumbo.

Chanzo chetu ndani ya nyumba hiyo kilieleza kuwa vitu vilivyoibwa ni pamoja na nguo, kadi za benki na fedha taslimu, lakini kilikataa kutajwa gazetini.

Inadaiwa Waziri huyo alibaini kuwapo kwa wizi huo alipoamka asubuhi, na hivyo kutoa taarifa katika kituo cha polisi kwa ajili ya ufuatiliaji.

Jitihada za kumtafuta Dk Kamani hazikufanikiwa kwa vile simu yake japo iliita kwa muda mrefu lakini haikuwa na majibu.

CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
 
Inadaiwa Waziri huyo alibaini kuwapokwa ajili ya ufuatiliaji.

Jitihada za kumtafuta Dk Kamani hazikufanikiwa kwa vile simu yake japo iliita kwa muda mrefu lakini haikuwa na majibu.

CHANZO: NIPASHE JUMAPILI

wizi mtupu
 
Alilala na mchepuko umekomba vyote huu mwaka mbona wabunge wamechepuka sana.
 
Wacha wapigwe tu tena hapo utakuta alilala na changudoa na picha kashapigwa kama John Kitambi
Zikiletwa hapa wanaanza kubisha hao ndio mawaziri wetu
 
DAFTARI LA WAGENI LA NYUMBA HIYO LICHUNGUZWE , utakuta MPANGAJI WA CHUMBA HAKUWA YEYE .
 
Mchepuko noma! Hakujifunza kwa Malima? Posho za burebure zabunge la katiba, bunge la bajeti zilikuwa zinamuwasha
 
Wenzako huwa hawalali nao lol! Unakula Fasta hata nyuma ya Gari Unasepa next time kuwa Makini Mkuu
 
Soon tutaanza kuona picha za matusi. Labda ka hawakuiba simu.
 
baada ya waziri kufanyiwa squirting,demu akachukua kodi zake akasepa
 
Na Waandishi wetu
8th June 2014
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, anadaiwa kuporwa vitu mbalimbali zikiwamo nguo pamoja na fedha, wakati akiwa amelala kwenye moja ya nyumba za kulala wageni iliyoko mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Habari zilizoifikia NIPASHE Jumapili jana zilisema uhalifu huo dhidi ya Waziri ulifanywa usiku wa kuamkia jana.

Akithibitisha habari hizo Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu, Charles Mkumbo, alisema Dk Kamani ambaye ni mbunge wa jimbo la Busega (CCM) pia Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, aliibiwa usiku wa kuamkia jana.

" Ni kweli tukio hilo lipo. Lakini nipigie simu baadaye kwa sababu nipo kwenye kikao" alisema Kamanda Mkumbo.

Chanzo chetu ndani ya nyumba hiyo kilieleza kuwa vitu vilivyoibwa ni pamoja na nguo, kadi za benki na fedha taslimu, lakini kilikataa kutajwa gazetini.

Inadaiwa Waziri huyo alibaini kuwapo kwa wizi huo alipoamka asubuhi, na hivyo kutoa taarifa katika kituo cha polisi kwa ajili ya ufuatiliaji.

Jitihada za kumtafuta Dk Kamani hazikufanikiwa kwa vile simu yake japo iliita kwa muda mrefu lakini haikuwa na majibu.

CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
Hapo kwenye RED nadhani umegeuza kalenda juu chini:A S-confused1:
 
Back
Top Bottom