Waziri afumaniwa Bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri afumaniwa Bar

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mtu chake, Jan 11, 2012.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  Juzi usiku katika maeneo ya Msasani Bonde la Mpunga....Ndugu Waziri Ally mkazi wa maeneo hayo..alifumaniwa na mke wa rafiki yake akiwa Bar.........

  JF Chit -Chat

  Kuna siku niliwahi kununua Gazeti kisa kichwa cha habari kama hiki
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Acha hiyo, ushawahi kuona "Rais Ampiga Mkewe"

  Kusoma habari (baada ya longolongo nyingi za kuanzia) unakuta "Rais wa chama cha mchezo mmoja mashuhuri nchini (jina la mchezo tunalo) amedaiwa kusadikika kwamba inawezekana alimpiga mkewe usiku wa juzikati kwa mujibu wa majirani (majina tunayo )...

  Rais huyo (jina tunalo)...
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  inaonyesha ni kiasi gani unapenda ushahidi........

   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hizo zote bado hazijatulia!
  Nilipigania kununua gazeti miaka ya 2000, likiwa na kichwa cha bahari:
  "KUMBE NYERERE ALIMPAPASA AMINA CHIFUPA"
  Kuja kusoma ndani wanaeleza jinsi Mwalimu alivyofika nyumbani kwa Mzee Chifupa, enzi hizo Amina ndio katoka kuzaliwa, na akambeba na kumpapasa kichwani!
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  wakati huo huo mwandishi wa habari hizi alijaribu kumpigia kamanda wa polisi ila simu yake haikupatikana....na alipomtafuta mganga mkuu wa hospital simu yake iliita bila kupokelewa...(na mwandishi wetu)
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mwenzio huyu......

   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tayari Mmeanza!...:A S embarassed:
  Nitam'Dip TANMO sasa hivi aje awasambaratishe!...ohoooo!
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  mamie Preta ...kwani hujawahi kukutana na habari kama hizo?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimefungua haraka kumbe hamna kitu.
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha...PJ..nini tena?...mie na Preta utuacheee
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ha!...watu msione kitu......

   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Yote tisa,

  Kuna wakati Papa alikwenda New York City, muandishi wa habari mmoja akamuuliza "Hivi Baba Mtakatifu unafahamu kwamba hapa New York kuna makahaba wanajiuza?".

  Papa akasema "Aaah, hapa New York kuna makahaba wanajiuza?" (akapiga alama ya msalaba)

  Kesho gazeti likaandika "Papa mawindoni:Auliza " Hapa New York kuna makahaba wanajiuza?"
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nimekutana lakini sizikimbilii mpaka nisikie uthibitisho......sio kama wewe na PJ......

   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Preta sio mamii yako bana!...Hivi umesahau mara hii eeh?...Hujui Tanmo alikuwa hapa kwa wiki 2 analishwa na kunyweshwa na Preta? ...Hujui mwenzio aliniachia Fifty ya karibu ili nimkamilishie mipango?...TANMO HAKUNAGA bana! Yule mtu ni kidume!
   
 15. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  Hujaiona habari hapo?
   
 16. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  PJ..achana utani wako..ujue utamua mtu chake kwa presha?....Preta hizi Taarifa za kweli?
   
 17. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  kwahiyo mimi na PJ unatuonaje
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ni za kweli kabisa.......

   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ndio hiyo hiyo sasa......

   
 20. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  kweli...Acha utani

  nini mamiee
   
Loading...