Waziri afumaniwa Bar

Waziri afumaniwa Bar

Zinauzi sana! Lakini ndiyo soko huria hilo, bila kuwa na mipaka tutachezeana hadi tusahau hata nzuri na baya ni lipi!
 
Zinauzi sana! Lakini ndiyo soko huria hilo, bila kuwa na mipaka tutachezeana hadi tusahau hata nzuri na baya ni lipi!​

Kichwa cha Habari kinauza
 
Hizo zote bado hazijatulia!
Nilipigania kununua gazeti miaka ya 2000, likiwa na kichwa cha bahari:
"KUMBE NYERERE ALIMPAPASA AMINA CHIFUPA"
Kuja kusoma ndani wanaeleza jinsi Mwalimu alivyofika nyumbani kwa Mzee Chifupa, enzi hizo Amina ndio katoka kuzaliwa, na akambeba na kumpapasa kichwani!

Hii nayo kali.
OTIS
 
You can't make a fool out of me and get away with it.
Mwenyewe skwea
.
Juzi usiku katika maeneo ya Msasani Bonde la Mpunga....Ndugu Waziri Ally mkazi wa maeneo hayo..alifumaniwa na mke wa rafiki yake akiwa Bar.........

JF Chit -Chat

Kuna siku niliwahi kununua Gazeti kisa kichwa cha habari kama hiki
 
Hizo zote bado hazijatulia!
Nilipigania kununua gazeti miaka ya 2000, likiwa na kichwa cha bahari:
"KUMBE NYERERE ALIMPAPASA AMINA CHIFUPA"
Kuja kusoma ndani wanaeleza jinsi Mwalimu alivyofika nyumbani kwa Mzee Chifupa, enzi hizo Amina ndio katoka kuzaliwa, na akambeba na kumpapasa kichwani!

hahahaha una kumbukumbu?
 
Kuna moja ilikuwa '' Rais afumaniwa Guest na mkewe'' kumbe alikuwa Rais wa chama cha mpira, na siku hiyo aliamua kwenda kujivinjari Guest na mkewe coz mazingira ya Home yalimchosha, si ndo mapaparazi wakamuotea!
 
Hizo zote bado hazijatulia!
Nilipigania kununua gazeti miaka ya 2000, likiwa na kichwa cha bahari:
"KUMBE NYERERE ALIMPAPASA AMINA CHIFUPA"
Kuja kusoma ndani wanaeleza jinsi Mwalimu alivyofika nyumbani kwa Mzee Chifupa, enzi hizo Amina ndio katoka kuzaliwa, na akambeba na kumpapasa kichwani!
hahaha hii inachekesha jaman mmh.
 
Back
Top Bottom