DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mmiliki wa hiyo kampuni ni mzee mmoja hivi anakaa Kimara Baruti!! Kuna bar inaitwa Hawaii baruti pale,upande wa pili wa hiyo bar nyuma nyuma tu kidogo ndo kuna ghorofa yake!! Nyuma ya sheli ya Puma tuseme!! Tunakulaga nae vichungu baruti hapo!! Hata hafananii
Kwahiyo Esta siyo mabasi ya Mwigulu kama tunavyoaminishwa?

Maana kipindi cha JK kila jengo tuliambiwa ni la Ridhiwani.
 
Kuna mchaga wa rombo anaishi mabibo karibu na chuo cha NIT alioa sehemu hela iko akapewa 2 kama kianzio cha maisha yeye na mkewe sasa kadei siku zinaenda za ndio yanazidi kuongezeka(huyo esta ni jina la mwanae wa kike ambaye alikufa kifo cha kutatanisha na alipoenda kuzikaa baba yake hakuhudhuria alipiga chenga fulani ndugu wakaamua kuzika wenyewe)kilichofuata !!!!!naomba niishie hapo vya watu havisemwi
Ngoja nilinde kiapo changu
Na ndio ukweli wenyeweee...

Huwa zikiletwa hizi story za madelu na haya mabasi huwa nashangaa sana.

Huyo bibie mwenye hizo chuma yuko vizuri haswaa.. Japo story za mapaka paka huwa zinahusishwa kimtindo.
 
Pascal is typing....

Screenshot_20220828-213017_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom