Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

James Martin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
1,205
Reaction score
1,509
Siku chache zilizopita Rais alikutana na Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

Screenshot_20190601-163458_YouTube.jpg
 
Siku chache zilizopita rais alikutana rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".
Mkuu aongee kiswahili tu
 
where are they with their good English; we surpass them in almost everything
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on
 
Nakumbuka hata Jk alipoingia madarakani alikuwa na Poor English, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinaenda alikuwa ana improve . huyu wameshindwa kumpiga msasa angalau cha kuombea maji tu? Dar hapo kuna wale jamaa wa English Fountain kama wapo, ameshindwa kuwaita kama ameshindwa yeye kwenda angalau jioni?
 
Siku chache zilizopita rais alikutana rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

Ni wazi JPM anawatesa sana...
 
Nakumbuka hata Jk alipoingia madarakani alikuwa na Poor English, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinaenda alikuwa ana improve . huyu wameshindwa kumpiga msasa angalau cha kuombea maji tu? Dar hapo kuna wale jamaa wa English Fountain kama wapo, ameshindwa kuwaita kama ameshindwa yeye kwenda angalau jioni?
Watamfundishaje wakati yeye anakijua kuliko hao walimu?
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on
Indeed ni haki yake raisi kuchagua lugha ya kutumia, na ni jukumu la wasaidizi wake kuonyesha kwamba ni kawaida na kila kitu kinaenda smoothly.

Anyway anawateua yeye mwenyewe kwa vigezo anavyovijua he is partly blameworthy too.
 
Back
Top Bottom