ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 44,415
- 92,553
Speed ya chini kabisa hapo ni 90-100km/hrs, otherwise ni 120-140km/hr.Safari ya mbali kama Bukoba utembelee speed ya hivyo si utachoka sana njiani. Umeamua kwenda Bukoba na gari kanyaga kibati aisee.... 1000kms+ uende kwa kunyata tena. Labda kama gari yako haina service ya kueleweka.