Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,678
- 14,563
Kuna Toyota Noah, nimewahi ikuta Mkamba, njia ya Kilombero Ifakara. Dereva analalamikiwa kasimama mbele kushusha raia, akawa anajitetea gari breki hazikamati na ni Auto.Labda utoke D uje D2 Kwa muda then ujimalize na L na hand brake Kwa mbaaaaaali
Tuliongozana nae mida ya jioni, speed aliyokuwa anatembea sio mchezo na abiria kajaza mpaka kwenye buti. Kona za Mangula,mitaa ya Kiberege anavyotembea ni hatari
, tourist camps, wenzetu Zambia wanazo hizi camps nyingi tu,T1 nzima naona tuna hii camp moja tu,pale iyovi inapoanzia ukitokea mikumi, ni shame hasa nchi yetu hii