Salute salute mkuu, unaijua vema hii T2,pit stop chinsali military check pointNakonde - Mbala
ovyo haijakamilika
Mbala - Isoka
km 40 za ovyo mashimo vumbi/tope
Isoka - Chinsali
km 160 tarmac iliyotulia
Chinsali via matumbo shiwang'andu Mpika
tarmac ya zamani atleast na shimo za hapa na pale
Mpika via lavushimanda mununga Serenje
Hii ndio balaa mahandaki/ mashimo ingawa sehemu chache Ina afadhali lakini nyembamba sana
Serenje via mukushi Kapiri mposhi
Hii ndio T2 haswaa
Onyo
Kama hujawahi kupita hii barabara uwe makini muda wowote utabadilishwa jina![]()
