Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,678
- 14,563
Mkuu gari nyingi kubwa zinashuka Old Vwawa,Senjere ya 1&2,Inyala zikiwa na tatizo za breki. Dereva akivuka border na gari inatatizo hawezi vumilia kukaa zaidi ataenda kufanya brake adjustment mitaa ya Mpemba, Chapwa au Forest Magorofani.Risks kubwa mno!,just imagine unashuka Inyala Pass bila break
Maroli mengi brake adjustment inafanyika akiwa kapaki na hakuna test za ziada kucheki kama zinakamata vizuri. Dereva mwingine anakuwa anajihamini akikimbia hovyo ndio yanapelekea ajali, kuna kipindi nilikuwa njia hiyo na hizo point nilishuhudia visa hivyo

kwa all heavy duty vehicles, hii itasaidia to slow down hizi trunks na breaks kupoozwa kidogo, hizi ajali pale zinatisha, but hazitishi kama T2, yaani hii barabara handaki la kwanza unakutana nalo baada ya kulipita geti la kutokea border!Africa sometimes inashangaza sana!
, tourist camps, wenzetu Zambia wanazo hizi camps nyingi tu,T1 nzima naona tuna hii camp moja tu,pale iyovi inapoanzia ukitokea mikumi, ni shame hasa nchi yetu hii